Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

Kupanga ni kuchagua. Je tununue shangingi moja kwa afisa mnene mmoja wa Serikali au tutumie fedha hizo kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu wanaohitaji matibabu ya ARV?
 
Kuvunja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, ngoma zinalia kwa sauti kubwa sana. Kinachotendeka ndani ya USAID kinawatafuna wengine. Mzee Trump shikamoo, Restless Development kimewalamba barabara.


Bakuli limeanza kupita mapema sana! Bado hamjasema. Trump kazana hapo hapo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…