Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
camden_003 kuna mchumba wako huku, hahahaKuna chimbo niliingia na washkaji kupoza koo mitaa ya home karibu na kwa bibi tbt aisee jamaa mwenye nyumba kaibadili nyumba yake kua bar , Jamaa ni shoga . Tukajichanganya kuchukua private room . Yaliyokua yanaendelea mule ni mazito haswa