Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Status
Not open for further replies.
Hawajawazidi wa huko Uarabuni, na sehemu ya mwambao wa Pwani.

Islamic kulana kinyeo ni sunnah, hata wanawake kuliwa kiboga ni ruksa ktk maandiko ya korani tukufu.
😂😂😂😂😂😂
Njoo na data mm nakuletea HII

Hapana, hiyo takwimu haiko sahihi.

Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni (kama za Gallup na Pew Research Center), idadi ya watu wanaojitambua kama washoga nchini Marekani ni takriban kati ya 4% hadi 7% ya idadi ya watu wazima.

Kwa hesabu:
  • Marekani ina watu wapatao milioni 330.
  • 4% hadi 7% ya hii ni takriban milioni 13 hadi 23.
 
Uko sahihi kabisaa, nakubalii.
 
Sasa huko Uarabuni ni robo 3 ya raia wote, haina haja ya utafiti.
 
Kwani wee ulizungumzia nn? Si uliuliza km yapo hayo majukumu, nimekujibu, bado unakataa, na kusema eti ooh ni kiasi kidogo, kwan wee unataka kiasi gani ili iwe sawa?
Unaongelea mashoga wanaojificha kwenye migongo ya wake na familia?
 
Kwa wenzetu suala hili sioni wakilijadili kama hoja za nchini kwao! Naona wazazi wanavyopambana watoto wao wasiwe mashoga/wasagaji nk! Huko Africa (tz kwa mfano) ndo mnaaandikaaaaa weee uzi, majadiliano nk! Huku sasa wanarudi kwenye misingi ya uumbaji kwa speed!
 
hawa wote wasio oa au kuwa na watoto ni mashoga? Nasubiri jibu hapa.
Sio mashoga lakini kwa asilimia Fulani yanawakumba yale yanayowatokea mashoga kutokana na mazingira hayo
Mwanaume au mwanamke afike 50 years hana watoto basi ujue mentally hiyo sio Hali ya kawaida; siongei kwa mabaya ila kwa uhalisia
 
Kinacho nichekesha, ni kuwa huwezi kupambana wala kuzuia ushoga/mashoga kwa njia hii

Si ujikite na mambo mengine?
 
Kwa wenzetu suala hili sioni wakilijadili kama hoja za nchini kwao! Naona wazazi wanavyopambana watoto wao wasiwe mashoga/wasagaji nk! Huko Africa
Moja ya vitu vilivyomrudisha Trump madarakani ni push back dhidi ya LGBTQ na ajenda zake; madhara yameanza kuonekana baada ya zaidi ya miaka 15 ya propaganda nzito
 
Sasa huko Uarabuni ni robo 3 ya raia wote, haina haja ya utafiti.
Ndo ulivofundishwa kanisani? Hapa bongo waarabu wapo wengi tu tunawaona, je ushawahi ona mwarabu shoga?

Halaf leta data sio maneno matupu, mwarabu muda wote yupo vitani huo muda wa kupakuliwa unautoa wapi?

Tatzo hampendi ukweli mkuambia mnakimbilia kusema ooh miji ya Pwani ndo inaongoza kwa ushoga, halaf data hamna Zaid ya hisia tu

Makafiri mnaongoza kwenye Kila baya hapa duniani
1. Ushoga
2. Mauaji
3. Unafiki
4. Ukatili
5. Ulevi
6. Ushirikina na uchawi
7. Zinaa
 
Sio mashoga lakini kwa asilimia Fulani yanawakumba yale yanayowatokea mashoga kutokana na mazingira hayo
Mwanaume au mwanamke afike 50 years hana watoto basi ujue mentally hiyo sio Hali ya kawaida; siongei kwa mabaya ila kwa uhalisia
Hivi kuoa au kuolewa, au kuwa na mtoto ni lazima au hiyari? Unasema hali hiyo mentally sio kawaida kwa kipi? Au wee ndo fikra zako zinasema hivyo? Na unataka ionekane hivyo kwa umma nzima? .

Afu mbna unajichanganya, hapa tunazungumzia ushoga/mashoga ktk muenendo mzima wa majukumu yao ndani ya taasisi, ikiwa kuna majukumu yako hadi walio nje yanawagusa na yanawakumba, kuna haja gani ya kupiga kelele?
 
Kumbe wee ni hamnazo, em nitolee pumba zako hapa.
 
Hata Chizi Huwa Hajui Kuwa Yeye ni chizi Jitahidi Kuwaelewa Watu Kwa Jinsi Walivyo
Mipaka ya uelewa huo inaisha pale maamuzi ya watu binafsi kwa wingi wao yanapoanza kuathiri jamii nzima vibaya (haya ninayoongelea kwa wingi zaidi kwa vizazi vijavyo)
 
Kwasababu "utombaji" might lead to procreation which is the natural order of things
Kuzibua mitaro ni unnatural

NEW NATURAL LAW THEORY AND PEDICATION

Katika nadharia ya maadili asilia, inayojulikana kama NEW NATURAL LAW THEORY au BASIC GOODS THEORY, tunaposema tendo fulani ni natural tunamaanisha nini?

Kitendo kinahesabiwa natural kwa sababu kinamsaidia mhusoka kustawisha tunu ya kiutu angalau moja.

Utombaji unastawisha tunu ya uzazi lakini sio mara zote. Wagumba hawazai, watumiaji wa kondomu hawazai, wapiga punyeto hawazai.

Lakini wote hawa bado wanayo haki ya kutombana na kupiga punyeto kwa kuwa matendo haya yanawasaidia kustawisha tunu ya utulivu wa nafsi (self-integration).

Kwa mujibu wa sheria ya maadili asilia uasherati kati ya watu wazima wawili ni halali kwa sababu ya kustawisha tunu ya utulivu wa nafsi (self-integration) pia.

Mantiki hii inahusika pia katika tendo la ulawiti kati ya watu wazima wawili waliokubaliana maana tunu ya self-integration inahusika pia.

Unasemaje?
 
Kumbe wee ni hamnazo, em nitolee pumba zako hapa.
MAKAFIRI MAKRISTO YA ULAYA NI MAKATILI ACHA SHOBO NAYO MM SINA DINI NASIMAMIA UKWELI, JAPO MAKOBAZ HAYANA AKILI LKN NYINYI NDO WALETA SHIDA ZOTE HAPA DUNIANI KWA RACE NYINGNE

1. Uingereza (Britain)
- Ukoloni duniani kote (Afrika, Asia, Amerika).
- Makadirio: Mamilioni 10-20 (ukijumuisha vita, ukandamizaji, njaa, magonjwa).

2. Ujerumani
- Vita vya Dunia, Holocaust, na ukoloni.
- Makadirio: Vita vya Dunia milioni 15-20, Holocaust watu 6 milioni waliuawa.

3. Ufaransa
- Ukoloni Afrika na Asia.
- Makadirio: Milioni 5-10 kutokana na vita za ukoloni na mateso.

4. Japan
- Uvamizi wa Asia Mashariki (China, Korea).
- Makadirio: Milioni 5-10, ikijumuisha mauaji ya kimbari kama Nanjing.

5. Urusi/Soviet Union
- Vita vya dunia, uvamizi wa Afghanistan, vita vya wenyewe kwa wenyewe.
- Makadirio: Milioni 20-30 waliuawa.

6. Marekani
- Vita vya Vietnam, Iraq, Afghanistan, na uvamizi mwingine.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni (watu wa raia na wanajeshi).

7. Ubelgiji
- Ukoloni wa Kongo.
- Makadirio: Milioni 10-15 waliuawa au kuumia vibaya.

8. Uholanzi
- Ukoloni wa Indonesia, Afrika.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni kwa miongo kadhaa.

9. Italia
- Uvamizi wa Afrika (Ethiopia, Libya).
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni, hasa kutokana na vita na mateso.

10. Portugal
- Ukoloni wa Afrika na Asia.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni kutokana na vita, mateso, na ukandamizaji.
 
Hivi kuoa au kuolewa, au kuwa na mtoto ni lazima au hiyari? Unasema hali hiyo mentally sio kawaida kwa kipi? Au wee ndo fikra zako zinasema hivyo? Na unataka ionekane hivyo kwa umma nzima? .
Kuwa na watoto si “lazima” kama sheria ya kijeshi, lakini ni mchakato wa kiasili (biological imperative) na msingi wa uhai wa jamii yoyote, kwa hivyo kuacha jambo hili si tu suala la “uhuru binafsi,” bali linaathiri vizazi, ustawi wa jamii, na hatima ya ustaarabu mzima.

Tukiangalia kwa mtazamo wa anthropology:

  • Kwa zaidi ya miaka 200,000 tangu kuibuka kwa Homo sapiens, karibu kila jamii ya binadamu imejengwa juu ya msingi wa familia: watu kuunganishwa, kuzaa, na kulea watoto.
  • Utafiti wa jamii za asili (kama Wahadza wa Tanzania au Wabororo wa Amazon) unaonyesha kuwa hata katika mazingira ya uhuru wa kijinsia, lengo la mwisho huwa ni uendelevu wa ukoo—kupitia watoto.
  • Anthropologist Margaret Mead na Claude Lévi-Strauss walionyesha kwamba ndoa na uzazi si tu kwa ajili ya mtu binafsi, bali ni mfumo wa kijamii unaojenga mitandao ya kuaminiana, urithi wa mali, na utulivu wa kijamii.

Kwa upande wa biology:

  • Seli za uzazi—yaani mbegu za kiume (sperm) na mayai ya kike (ova)—zimeundwa kwa ajili ya kitu kimoja: kuanzisha maisha mapya. Hii ni kazi ya asili, si chaguo la kiakili.
  • Homoni kama oxytocin na prolactin zinazotolewa wakati wa kuzaa na kunyonyesha zinajenga uhusiano wa kihisia baina ya wazazi na watoto. Hii ni evolution ikituonyesha kuwa kulea watoto si tu jukumu, bali ni sehemu ya utambulisho wa kibinadamu.
  • Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wasio na watoto wana uwezekano mkubwa wa kupata matatizo ya kiakili na upweke wanapozeeka — kwa sababu maisha ya binadamu yameumbwa kuwa ya kijamii na kizazi baada ya kizazi.

Kuhusu hoja ya pili: "Unataka ionekane hivyo kwa umma mzima?"

Sijaribu kugeuza maoni binafsi kuwa sheria ya umma, bali kuonyesha kuwa kutoa sifa kwa maisha yasiyoendeleza jamii ni kuharibu msingi wa jamii hiyo kimya kimya. Tukiweka kwenye kipimo cha muktadha:

  • Hatusemi kila mtu aolewe kwa lazima, lakini tukikumbatia dhana kuwa kuoa au kuzaa si muhimu kabisa, tutafika hatua ambayo kizazi kijacho kitakosekana.
  • Baadhi ya nchi kama Japan, Korea Kusini, na hata Ujerumani tayari wanakabiliwa na demographic collapse — idadi ya wazee inazidi vijana, uchumi unashuka, na jamii inakufa polepole.

Kwa hiyo, mtu anaposema, “si lazima kuzaa au kuoa,” ana haki ya kusema hivyo binafsi. Lakini kama jamii, hatuwezi kuishi kwa msingi wa kauli hiyo. Lazima tutofautishe kati ya uhuru wa mtu binafsi na wajibu wa kijamii na kimaumbile.

Siyo lazima kupanda miti, lakini tusipopanda, misitu itakufa. Sasa tafakari hiyo ikiletwa kwa jamii ya binadamu—nani atabeba jina lako, urithi wako, tamaduni zako?
 
Umeandika vyema sana ndugu.
Ila naona tayari tuko nyuma ya muda,nasema hivi kwa sababu mamlaka za serikali zilithibitisha kumshikilia Boniface Mwangi,baadaye kuna picha mjengeo ukimuonesha mwangi akilalamika kufanyiwa vitendo hivyo na waliokuwa wakimshikilia.
Sasa kwa hili hao Wamagharibi wamehusikaje?

Tukemee haya mambo kwa vitendo,serikali useme waziwazi kuwa vitendo hivi na vinavyo fanana na hivi haviruhusiwi,ili tusijekua tunapinga vitu ambavyo mamlaka zimevibariki kimyakimya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…