Anyway naomba nikujibu hivi kwanza kwa maandishi yako tayari unaonesha una chuki dhidi ya jamii ya Lgbt+ (homophobic) na nyie homophobics ndio mliosababisha mpaka hizo nchi zilizoendelea kuja na sera madhubuti ya kuwalinda jamii ya mashoga sababu dunia kabla haijastaarabika nazungumzia karne nyingi zilizopita jamii hii ya mashoga ilikuwepo ila waliishi kwa uoga na hofu na waliuliwa ama kudhalilishwa pindi walipojulikana,
Ndugu .......
Katika makala hii nimegusia jambo moja ambalo wengi mnalikwepa kwa makusudi—
haki bila wajibu. Kwa mtazamo wangu, haki inayotolewa kwa kundi lolote bila kuwapo kwa mizizi ya maadili, bila mfumo wa uwajibikaji wa ndani, huwa haina tofauti na
laana.
Umeniita
homophobic—lakini kwa mtu atakayesoma
between the lines, ataona wazi kuwa hoja yangu inatokana na
nia njema, si chuki. Nia ya kuona kama kweli kundi hili linawezaje kujijenga na kuingizwa kwenye jamii kwa namna yenye kujenga, si kubomoa.
Kwa sasa, nauliza kwa dhati:
Mashoga wakipewa haki leo, wana nini cha ku-offer kwenye jamii yetu zaidi ya opulence (mafanikio yasiyo na dhamira) na hedonism (maisha ya kutafuta raha za mwilini)?
Ukiangalia mlolongo wa michango hapa jamvini, jamii mnayoitaka iwape heshima haioni mchango wenu zaidi ya mwelekeo wa kingono.
Kiufupi: you are defined by your sexuality and nothing else.
TAHADHARI:
Mkishinikiza jamii za Kiafrika—kwa kutumia nguvu laini za nchi za Magharibi—zikubaliane nanyi bila msingi wa ndani wa maadili, mtakuwa mnajenga nyumba juu ya tope.
Nikuhakikishie: mambo yakiharibika (kiuchumi au kisiasa),
watawala hawa hawa watakaowapigia magoti sasa hivi kwa ajili ya msaada wa nje, ndio
watakaowaangusha kwanza.
Wataingia madhabahuni, majukwaani, kwenye redio na runinga wakiwashambulia—na nyinyi mtageuka kuwa
mbuzi wa kafara kama ilivyowahi kutokea:
- Ugiriki ya kale
- Weimar Republic kabla ya kuzaliwa kwa Nazi Germany
- Majimbo kadhaa ya Marekani na Ulaya Mashariki
Pride comes before the fall.
Historia yote inaonyesha kwamba mashoga hukumbwa na vuguvugu kali zaidi pindi jamii inapokuwa kwenye misukosuko. Kwa nini? Kwa sababu hawakuwa na
mizizi ya maana ndani ya jamii hizo; hapa nazungumzia kujulikana kwa Umalaya , uchangudoa na ukurutu wa magonjwa ya kingono mahospitalini — Nina ndugu katika hospital moja kubwa hapa jijini na nichoambiwa anakutana nacho huko kusema kweli hii jamii ijikosoe na kujirekebisha kabla mambo hayajaharibika (na yataharibika tu); kwa uchache wenu matatizo yanaonekana makubwa sana kuliko ukichukua sampuli ya kiasi sawia ya wanaume rijali
Kama mnavyolalamika leo kuwa "society is rejecting us", subirini pale hali itakapokuwa mbaya—hamtarejea tu kwenye
closet, mtarejeshwa kwenye
magereza na makaburi.
Naomba nikamilishe:
Mkishindwa kujijenga kwa maadili, mshikamano na wajibu ndani ya jamii, basi mnakuwa kama nyasi zilizomwagiwa petroli.
Muda wowote, kijiti cha moto kitapita tu—na matokeo yatakuwa si ya kuchoma majani, bali
kufuta kabisa uwepo wenu kwa visingizio vya “kuokoa jamii.”
Fikiri. Tafakari.