GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia.
Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia milioni 200 sababu kitendo cha makato hayo kilimfanya ashindwe kuwasiliana na mteja wake na hivyo kukosa kazi.
TCRA walimpa fidia ya TZS 1.5M, Jamaa kagoma anakata rufaa.
An interesting case. 😂😂