Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

Mkopo una riba, huenda aliwasiliana na mteja kwa namna nyingine na hiyo kazi akakosa… lakini baada ya kukaliculate hilo tukio ameona kuna namna ya kuwabana na kuwapiga.

Hukumu ya kwanza umeona ameshinda, ila malipo ya fidia ni kidogo (kwa logic)…. jamaa hataki na kuna dalili atawapiga pakubwa tu.
Labda kama kwa rushwa au kwa kushirikiana na mawakili wa Tigo, in which case, lolote linawezekana popote pale. Ila kwa court proceedings zilizonyooka, hakuna connection ya yeye kukosa kazi na hilo la kukatwa pesa, maana huwezi kuacha kazi ya milioni 200 kisa unaogopa riba ya shs.100/=, it defies logic! Hakuna jaji ambae hajala rushwa na mwenye akili timamu, atakupa ushindi
 
Msingi wa hoja yake kwanini wamkate kimakosa? Kama alikuwa hataki kuomba tena kwasababu hataki kuingia deni tena ni lazima?
Sasa kujikosesha kazi ya milioni 200 kwa kuogopa riba ya shs.100/= ambayo baadae angeweza kuipinga kama hivi ni kosa la nani? Alalamike kukatwa pesa ila sio kukosa kazi.., huo ni uzembe wake mwenyewe.
 
Labda kama kwa rushwa au kwa kushirikiana na mawakili wa Tigo, in which case, lolote linawezekana popote pale. Ila kwa court proceedings zilizonyooka, hakuna connection ya yeye kukosa kazi na hilo la kukatwa pesa, maana huwezi kuacha kazi ya milioni 200 kisa unaogopa riba ya shs.100/=, it defies logic! Hakuna jaji ambae hajala rushwa na mwenye akili timamu, atakupa ushindi
Mkuu mimi sio mwanasheria. Lakini najua mambo sio rahisi hivyo... Kama hakuna connection kwanini kalipwa 1.5M? Kapewa kifuta machozi? Bases zipi zimetumika kumu award 1.5M?
 
Hakuna kampuni kubwa yenye size ya Tigo wanaweza kukubali kwenda mahakamani kwa ishu ya kipuuzi kama hiyo, maana kuandikwa vibaya magazetini kunaharibu biashara, hivyo wanaweza wakakupa hata usichostahiki ili kuepuka kuchafuliwa kwenye media, use logic!
 
Kuacha kazi ya milioni 200 kwa kuogopa deni la shs.500/= ambalo angeweza kufidiwa baadae kama hivi ni mediocre na ni kuitukana mahakama, kwamba mahakama haina kazi za kufanya.
Mkuu sheria i hope unaijua. Hebu chukua hii case scenario.

John Binder ana 5000 kwenye salio (tigo wakakata kimakosa) na alikuwa na appointment ya kazi na mteja wake. Muda ulipofika alipotaka kumpigia akakuta salio limekatwa hivyo akafanya jitihada za kutafuta salio ambalo alipata (let's assume baada ya dakika 10).

Baada ya kupata salio akampigia mteja wake ambae alimwambia kuwa kutokana na yeye kutompigia simu kwa muda waliokubaliana hataweza kufanya nae tena kazi kwakuwa ameshapata mtu mwingine.

Hivyo kutokana na hali hiyo amepata hasara ya millions kutokana na kushindwa kupiga simu kwa wakati kwa makosa ya Tigo kumkata salio lake.

Haya toa hukumu hapo.
 
Hawa ndio watu tunaowataka akili kubwa

Mwaka juzi nilifungua kesi juu ya serikali kutaka kuzifunga line ambazo hazijasajiliwa kwa alama ya vidole

Serikali wakasitisha juu kwa juu kuzifunga line mpaka pale watu % kubwa walipopata haki ya kupata naomba za nida na kusajili kwa wingi.

Sometimes tunatakiwa kuwa kama mtikila kutafuta haki mpaka ipatikane.
 
Mkuu sheria i hope unaijua. Hebu chukua hii case scenario.

John Binder ana 5000 kwenye salio (tigo wakakata kimakosa) na alikuwa na appointment ya kazi na mteja wake. Muda ulipofika alipotaka kumpigia akakuta salio limekatwa hivyo akafanya jitihada za kutafuta salio ambalo alipata (let's assume baada ya dakika 10).

Baada ya kupata salio akampigia mteja wake ambae alimwambia kuwa kutokana na yeye kutompigia simu kwa muda waliokubaliana hataweza kufanya nae tena kazi kwakuwa ameshapata mtu mwingine.

Hivyo kutokana na hali hiyo amepata hasara ya millions kutokana na kushindwa kupiga simu kwa wakati kwa makosa ya Tigo kumkata salio lake.

Haya toa hukumu hapo.
Kwanini atumie dakika 10 wakati kukopa ni kitendo cha dakika 1?
 
Back
Top Bottom