Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

Yaweza isijengewe hoja ila inatosha kufikirisha. Alijihakikishiaje kwamba ni lazima atapata 200M

Hayo maswali huwezi kupata majibu hapa, ila hadi kufikia TCRA wamekubali fidia ya 1.5M kutokana na makato ya 6000/- basi ujue kuna sababu za kutosha.

Hatujui kwanini jamaa kasema the deal was worth 200M, hatujui hata hiyo job opportunity ni gani…. tunahitaji kusikia zaidi na kujifunza.

Sheria ni tamu sana, ni raha sana kuijua.[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kuacha kazi ya milioni 200 kwa kuogopa deni la shs.500/= ambalo angeweza kufidiwa baadae kama hivi ni mediocre na ni kuitukana mahakama, kwamba mahakama haina kazi za kufanya.
Huo ni mtizamo wako. Chanzo!
 
Dah, Jamaa ka'temper na loophole...................si mchezo!!!!
 
Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia milioni 200 sababu kitendo cha makato hayo kilimfanya ashindwe kuwasiliana na mteja wake na hivyo kukosa kazi.

TCRA walimpa fidia ya TZS 1.5M, Jamaa kagoma anakata rufaa.

An interesting case.[emoji23][emoji23]
20210622_142223.jpg
 
Hii habari wewe kama sio watatu basi ni wanne kuiweka hapa.
 
Back
Top Bottom