bablai2020
Senior Member
- Sep 5, 2020
- 149
- 373
Sheria tamu sanaa..hapo imekula kwao..waache huo uhuniNi ngumu kupprove connection ya yeye kukosa kazi na hiyo deduction ya kimakosa, maana angeweza kuomba tena mkopo wa airtime na akawasiliana na mteja