Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Anasema nature ya mwanamke ni kuhongwa, yaani yeye akipiga mizinga ruksa
Women are very selfish creatures. Halafu baada ya hapo wanadai 50/50. Ajira 50/50, uongozi 50/50, kurithi mali 50/50 ila kwenye ku-provide monetary expenses ndio mwanaume abebeshwe 100% zote
 
Tatizo la Akili.
 
Kwa baadhi JF ni sehemu ya kuja kuburudika, kwa baadhi ni platform ya kutemea nyongo ambazo hawawezi zitema huko nje….. au wamezitema huko nje wakaona haitoshi ngoja waje kutufagia na humu.

To each their own 🥂 ilimradi siku ziende mwaka upinduke mambo yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…