Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Hatukuulizi unajishughulisha na nini humu jf,tunasikitishwa na kututaka kinguvu tukufuate pm kwa kuwa unamaanisha wewe si kama wao.
 
Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.

Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .

Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.

Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .

Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.

Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .

Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Usijumuoshe wanaume wote watag wale waliokukera
 
Jukumu la boyfriend ni kumpa girlfriend wake mapenzi tu hizi mambo za kuhudumiana si kweli
Huyo mdada kama anakupa papuchi, kiukweli kama una hela nashauri umsaidie kulingana na uwezo wako, saa ingine hujui mtu anapitia nini kwenye haya maisha

Shida yangu iko kwa wale mademu mbususu hajawahi kupa na hataki kuitoa, na bado anakuomba hela Mzee wa kupambania
 
Ajabu ya JF unaweza pata mwandishi si jinsia anayoitetea 😄
 
Kama ulikua haujui basi nakufahamisha mimi kama mwenyekiti wa UWABATA natambua juhudi zako. Keep it up my boy.
Kitu kingine wanawake wasichojua ni kuwa mwanaume yoyote anaejielewa mwenye hela, anapenda kutoa hela kwa mwanamke anaempenda

Shida ni hawa wadada wengi a.k.a vijukuu vya Delilah, yani ukiwatongoza, wengi Wana personality za kishenzi, interaction Yao yoote, you feel used, hata kama una hela unaona huyu kwanini nimsaidie, mdada ukimtongoza, she can't carry a Convo, mdada anakujibu vibaya, au anakujibu as if ww ni kinyesi, au as if uko kwenye job interview, half anatarajia umsaidie hela, how yani Depal Unique Flower Natafuta Ajira
 
Ajabu ya JF unaweza pata mwandishi si jinsia anayoitetea 😄
Kuna mtu alidai kusema asilimia kubwa ya id za humu ni wanawake nimeamini mnapemda sana kuwaota wenzenu wanaume ili nyie mkadange ila ukweli ni huu katika udangaji wenu mnapigwa matukio . Namnasanukiwa ni kausha damu na mnasemwa vibaya. Sijui wafupi wamepigwa pasi ndio hivyoo
 
Kitu kingine wanawake wasichojua ni kuwa mwanaume yoyote anaejielewa mwenye hela, anapenda kutoa hela kwa mwanamke anaempenda

Shida ni hawa wadada wengi a.k.a vijukuu vya Delilah, yani ukiwatongoza, wengi Wana personality za kishenzi, interaction Yao yoote, you feel used, hata kama una hela unaona huyu kwanini nimsaidie, mdada ukimtongoza, she can't carry a Convo, mdada anakujibu vibaya, au anakujibu as if ww ni kinyesi, au as if uko kwenye job interview, half anatarajia umsaidie hela, how yani Depal Unique Flower Natafuta Ajira
Sijaelewa unataka nikusaidie au unaniponda kuwa mie nawachukua hela za wanaume sijaelewa .
 
Kuna mtu alidai kusema asilimia kubwa ya id za humu ni wanawake nimeamini mnapemda sana kuwaota wenzenu wanaume ili nyie mkadange ila ukweli ni huu katika udangaji wenu mnapigwa matukio . Namnasanukiwa ni kausha damu na mnasemwa vibaya. Sijui wafupi wamepigwa pasi ndio hivyoo
kuna mdada nilimuambia nimetok kuuguza ila bado anang'angania huna hata 10k

Shenzi
 
Wanawake asili yao nikuchuna sio kuchunwa, ukimwona mtu wewe mwanaume unamchuna usimchukulie poa kakupenda.

Sasa kuna watu wanaongea shit kuhusu watu wa humu sio nawapenda sana wanawake wa humu but anajumlisha wanawake wote . Nasio mara moja wanadai anaona profile picture anaenda pm sasa profile picture ya rihanna halafu kweli unaenda pm eti ukakutane na rihana .

Aisee acheni kuzingua basi hakuna kichaa ataona picha halafu aweke ndio mtu halasi . Mtoa ni tz halafu kaweka picha ya white not yake halafu unaenda huko huko unamtag unaenda naye kulala naye. Shame on you men.

Hivi unaanzaje kukutana na mtu humjui hujawahi mwona mpaka unamvua nguo zote hizo ulikuwa unaona ile profile picture . Au ulikuwa na shida zako . Zimeisha eti mtu yuko kama mfuniko .

Halafu unatujumlisha wote kabisa hii sio sawa . Wanaume wa jf jieshimuni tokea nifanye kazi za watu wa jf wote ni watu wazima wenye familia zao. Humu jf siwajui wanawake kwa sura japo mmoja nimemuona kupitia facebook kweli ni anasura ya baba ila wanaume wazee sana mnakera mnadhalilisha watu . Kuweni na adabu andika fulani unakera mpe makavu basi sio watu wote mimi na shida zangu naingia jf nifurahie nakuta wadada wajf wamefanya hili au lile why mnamjulisha watu wote nani sasa amtake nani humu kwalipi sasa mbwa tuambie sasa mnatembelea magari ya mikopo na yakazini hamna lolote.

Acheni ujinga mnakeraaa . Hakuna mtu amewahi nipa pesa yakujikimu humi ndani hata mwezi mmoja zaidi yakufanya kazi nakujitoa kwa jasho .

Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishi kwa hela za wajinga wa humu.
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na akujaalie utulivu phisically, mentally and spirituality, Aimen..
Pole sana mpendwa...
 
DDaaa

Kila saa wadada wa jf andikeni wa mf kimeumana umekula hela yangu rudisha sio wote wanaishSSasa

Sasa mbona na wewe unatutukana wote na wakati sio wote tulianzisha thread hiyo
 
Wake mi mafungu manne
Matatu hayako sasa
Wamebakia vigwene
Wake wasio siasa
Kazi kudai mapesa
Huwapasha madeni wanaume makubwa sana
Hivi wanauza nini hadi mkadai mapesa?
 
Hatukuulizi unajishughulisha na nini humu jf,tunasikitishwa na kututaka kinguvu tukufuate pm kwa kuwa unamaanisha wewe si kama wao.
Mnifuate PM? Nifuate sasa kinguvu shenzi type . Huna uume ,hela wala pp zimelegea ukiwa chooni haja kubwa yote yanashuka kamzigo. Halafu nikulazimishe kitu kimepauka kina rangi nyeupe, ushindwe,.. mtaani muna wanaume wa chuga watraam kama nini wananguvu za maziwa na nyama mashine imepigwa dawahata apples ni tramu.

Wewe kenge uwe ke au me mi nimjamzito soon naenda leba so kaa kwakutulia. Sina haja ya kupuliwa na watu wazee mie . Msije mkanifia na vipumzi haba
 
Women are very selfish creatures. Halafu baada ya hapo wanadai 50/50. Ajira 50/50, uongozi 50/50, kurithi mali 50/50 ila kwenye ku-provide monetary expenses ndio mwanaume abebeshwe 100% zote
Umepata kazi arusha kuna kazi ya wamama kubebishwa ukijua mambo vizuri unapata hadi na tipu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf haiboi na haichoshii.
Kivumbii leo.
 
Back
Top Bottom