Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Kuna mtu alidai kusema asilimia kubwa ya id za humu ni wanawake nimeamini mnapemda sana kuwaota wenzenu wanaume ili nyie mkadange ila ukweli ni huu katika udangaji wenu mnapigwa matukio . Namnasanukiwa ni kausha damu na mnasemwa vibaya. Sijui wafupi wamepigwa pasi ndio hivyoo

🚮🚮🚮
 
Kitu kingine wanawake wasichojua ni kuwa mwanaume yoyote anaejielewa mwenye hela, anapenda kutoa hela kwa mwanamke anaempenda

Shida ni hawa wadada wengi a.k.a vijukuu vya Delilah, yani ukiwatongoza, wengi Wana personality za kishenzi, interaction Yao yoote, you feel used, hata kama una hela unaona huyu kwanini nimsaidie, mdada ukimtongoza, she can't carry a Convo, mdada anakujibu vibaya, au anakujibu as if ww ni kinyesi, au as if uko kwenye job interview, half anatarajia umsaidie hela, how yani Depal Unique Flower Natafuta Ajira
Waulize hao hao uliokutana nao
 
Mnifuate PM? Nifuate sasa kinguvu shenzi type . Huna uume ,hela wala pp zimelegea ukiwa chooni haja kubwa yote yanashuka kamzigo. Halafu nikulazimishe kitu kimepauka kina rangi nyeupe, ushindwe,.. mtaani muna wanaume wa chuga watraam kama nini wananguvu za maziwa na nyama mashine imepigwa dawahata apples ni tramu.

Wewe kenge uwe ke au me mi nimjamzito soon naenda leba so kaa kwakutulia. Sina haja ya kupuliwa na watu wazee mie . Msije mkanifia na vipumzi haba
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kivumbi leo
 
Anakuita majina yote ya kimahaba "mume,mpenzi, mkeo nitalia"

Hivi ndo huyu huwa unamzungumzia kwenye kugusanisha vikojoleo zile style unamuweka,mzee wa "de libolo"?

Tuma hiyo 5,000 Tsh mara ya mwisho aiseeh,hatutaki msiba.🤣
Nashangaa anavyojipa cheo cha mke, angekuwa ni wife wangu kumtunza ni jukumu langu asingehitaji hata kunikumbusha
 
Hivi ndo huyu huwa unamzungumzia kwenye kugusanisha vikojoleo zile style unamuweka,mzee wa "de libolo"?

Tuma hiyo 5,000 Tsh mara ya mwisho aiseeh,hatutaki msiba.
Hawa kausha damu hawaelewi tukishamaliza kuwazagamua wasitutafute tena na shida zao asubiri tena shoo nyingine. Mchakato mzima wa kumzagamua nitalipia lakini sio baada ya mzagamuo aanze kutangaza shida zake
 
Huyo mdada kama anakupa papuchi, kiukweli kama una hela nashauri umsaidie kulingana na uwezo wako, saa ingine hujui mtu anapitia nini kwenye haya maisha

Shida yangu iko kwa wale mademu mbususu hajawahi kupa na hataki kuitoa, na bado anakuomba hela Mzee wa kupambania
Huyu manzi ni mtumishi serikalini anafanya kazi na mshahara si haba sio kwamba hana mishe

Shida ya wanawake ni moja hela zao wanazionea ubahiri sana

Za kwao kuzitumia wanazionea uchungu ila zetu ndio za kufanyia matumizi yao binafsi

Wana ile kauli yao kwamba hata awe na milioni ila akiona unamtumia hata elfu 10 yako anahisi anathaminiwa ndio pigo zao

Nilimkaushia na sikumtumia sasa hivi tumepatana, alikuwa anajidekeza eti anakaza nione kweli ana shida, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana

Ananielewa sana, ila ndio hivyo anataka aniingize kwenye mfumo wa kumhudumia, na mimi nilishaapa kwenye maisha yangu wa kumhudumia ni atakeyekuja kuwa mke wangu wa ndoa tu

Kama nikimuoa atakula vizuri tu hela za mumewe, ila kwa sasa acha twende hivi kibishi

Screenshot_20240117-012222_Messages.jpg
 
View attachment 2874128
Hahaha dah ka ni ivyo ulikuwa na haki ya kumnyima hela, ila yote tisa, unamlaga 0713? au kwavile ni wife to be, tope lake unalikaushia Mzee wa kupambania
 
Back
Top Bottom