Mashtaka kila siku kuhusu wanawake wa humu JF, wanaume mnakera

Ushauri mzuri

Huu ushauri uguse wote wanawake na wanaume

Tatizo lenu mnaonaga ni sisi tu ndio hatujatulia

Wakati tukishika simu zenu tunakuta mna mabwana kama wote. Na mnavyojua kutupanga
Ukiwa unaona hivyoo unamuuliza shida nini na kama habadiliki unamwambia na unatafuta kwingine usikae mahali pasipo na muelekeo jamani
 
Anakuita majina yote ya kimahaba "mume,mpenzi, mkeo nitalia"

Hivi ndo huyu huwa unamzungumzia kwenye kugusanisha vikojoleo zile style unamuweka,mzee wa "de libolo"?

Tuma hiyo 5,000 Tsh mara ya mwisho aiseeh,hatutaki msiba.🀣
Anamnyima mwenzie efu tano anataka afe njaa 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…