Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Unafaa kupewa mechi za simba uchezeshe wewe
 
Wewe ata uki bebwa Mimi kazi yangu ndogo tu, tukikutana nahakikisha naku Kanda.
Uta tukana matusi yote ila, utake naku Kanda usitake naku Kanda ata uje na refa wako Mdoe.
Umejibu kikubwa sana big, jamaa anaona bila matusi hawez kujib
 
Hizo dak 6 zilizoongezwa hao Mashujaa wallikuwa wamefungwa miguu wasicheze? Walikuwa wanacheza Simba si ndiyo wewe Utopolo unayetoa lawama kwa refa kipuuzi kabisa. Je, angetoa penalti si ndio ungeongea hadi povu likutoke? Hata kama huipendi Simba, jaribu kuwa fair basi katika baadhi ya mambo ya ukweli. Ukiona unaumia sana Simba ikishinda, basi jitahidi kujizuia kukaa kimya, kuliko kuandika upuuzi kama huu.
 
Ivyo vyoote ulivyo taja ukivijumlisha havifiki dk 1 na ukitaka upate muda ulio potea sio shida ni kuangalia Ile running time ya kwenye TV wakati mpira unaendelea haiongopi.

Hii mechi haikutakiwa izidi dk 3/4 za nyongeza.
 
Ivyo vyoote ulivyo taja ukivijumlisha havifiki dk 1 na ukitaka upate muda ulio potea sio shida ni kuangalia Ile running time ya kwenye TV wakati mpira unaendelea haiongopi.

Hii mechi haikutakiwa izidi dk 3/4 za nyongeza.
Ulikuwa una stop watch?Refa huwa anasimamisha stop watch mpira ukiwa hauchezwi.Jaribu kuficha mahaba yako.Leo mnamshambulia refa na sio nyie mliocheza?
 
Hivi kilichokuuma ni lile goli au ile sarakasi?
Mimi ninacho paza Sauti kwa watu wa mpira wajue kua Mdoe ni refa wa Simba wa ki mkakati na timu pinzani zielewe Mdoe akiwa kati wajue wanatakiwa wapambane na bahati iwe upande wao.

Kwasasa hakuna Cha kuniuma kwakua Simba Haina uwezo wa kunitisha ila napenda mteseke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…