Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Ivyo vyoote ulivyo taja ukivijumlisha havifiki dk 1 na ukitaka upate muda ulio potea sio shida ni kuangalia Ile running time ya kwenye TV wakati mpira unaendelea haiongopi.

Hii mechi haikutakiwa izidi dk 3/4 za nyongeza.
Refa anatumia stop watch wewe endelea kutazama kwenye Tv.na dakika za nyongeza haziko fixed itategemea na refa ameonaje muda uliopotea baada ya muda wa nyongeza kuonyeshwa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Refa anatumia stop watch wewe endelea kutazama kwenye Tv.na dakika za nyongeza haziko fixed itategemea na refa ameonaje muda uliopotea baada ya muda wa nyongeza kuonyeshwa.
Refa ana saa mbili ndugu Mbumbumbu. Ana running time ambayo Iko sawa na tunayo iona kwenye tv na stop watch.

Muda anao Simamisha mchezo wewe mtazamaji unaweza uka angalia kwenye running time ya kwenye Tv na ku rekodi sehemu na akianzisha Tena una rekodi sehemu ameanzisha muda Gani baadae una jumlisha muda wote ulio Simama unapata muda sahihi wa stop watch ya refa.

Ni akili ndogo tu na ndio ana vyo Fanya Othmani kazi kuwaelekeza watu katika kipindi chake Cha kipenga Cha mwisho.
 
Kweli umekosa kazi za kufanya. Yaani shabiki mtazamaji unakaa kabisa na saa na kalamu, unajumlisha muda ambao mchezo umesimama ili uje ulinganishe na muda alioongeza mwamuzi?
 
Hongera mnyama Simba waliompa kukuzidishia magoli wamekukosea sana
 
Ivyo vyoote ulivyo taja ukivijumlisha havifiki dk 1 na ukitaka upate muda ulio potea sio shida ni kuangalia Ile running time ya kwenye TV wakati mpira unaendelea haiongopi.

Hii mechi haikutakiwa izidi dk 3/4 za nyongeza.
Una utani wewe

Hivi Afrika na Ulaya wapi ambako ni kawaida kuona muda ukipotezwa uwanjani?

Juzi hapo Westham na Man U walicheza, uliona kuna matukio yeyote ya upotezwaji muda kama ilivyokuwa NBC mechi ya leo?

Uliona dakika zilizoongezwa?
 
Kweli umekosa kazi za kufanya. Yaani shabiki mtazamaji unakaa kabisa na saa na kalamu, unajumlisha muda ambao mchezo umesimama ili uje ulinganishe na muda alioongeza mwamuzi?

Nimewaelekeza baadhi ya mbumbumbu wasio elewa, kwakua mechi uwa inarudiwa achukue pen na karatasi ili apate uhakika kama iki ninacho andika namuonea mwamuzi Mdoe refa wa mfukoni wa Simba.

Marefa wa mfukoni wa Simba yupo Heri Sasi, Tatu Malogo na uyo Mdoe, Ao wawili watu wamepaza Sana Sauti kwasasa Simba imewapumzisha katika mechi zao Wana mtumia Mdoe ila wakiona kime sanuka wata mpumzisha watakuja na mwingine.
Yule mama Jonesia Lukyaa sijui imekuaje kwasasa maana simuoni Tena nayule alikuwa refa wao wa mfukoni.
 
Kama unakaa chini unachukua kalamu na daftari kufuatilia mda we utakuwa kiazi mbatata
Refa ana saa mbili ndugu Mbumbumbu. Ana running time ambayo Iko sawa na tunayo iona kwenye tv na stop watch.

Muda anao Simamisha mchezo wewe mtazamaji unaweza uka angalia kwenye running time ya kwenye Tv na ku rekodi sehemu na akianzisha Tena una rekodi sehemu ameanzisha muda Gani baadae una jumlisha muda wote ulio Simama unapata muda sahihi wa stop watch ya refa.

Ni akili ndogo tu na ndio ana vyo Fanya Othmani kazi kuwaelekeza watu katika kipindi chake Cha kipenga Cha mwisho.
 
Kuna mechi za mikoani Simba anaenda kudodosha point! Hivi akutane na li Singida black stars pale atatoboa kweli?
 
Timu pinzani zinatakiwa zifahamu yule refa wa kati Mdoe wa Tanga ni refa wa Simba wa mechi za ki mkakati za mikoani.
Alifanya hivyo na Dodoma JiJi Leo na Mashujaa.

Na Kuna mdau uku mitandaoni kabla ya Simba kucheza na JKT mechi iliyo Hairishwa alisema, Mashujaa wajiandae watakutana na Simba inayo chezeahwa na Mdoe ni Ngumu kuchomoka.

Na kweli baadae ikafahamika Refa wa Simba na Mashujaa ni Mdoe.
Simba wamejipanga na refa wao wa mfukoni.
Itisha press conference we mpumelelo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom