Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

Kwanza alifunika Tuta bahati mbaya mshika kibendera Ali mpotezea maana tukio alikua ana kimbia nalo mpaka kwenye kibendera Cha Kona na presha ya wachezaji wa Mashujaa aka potezea.
Pili muda ulio simama mpira haukufika dk 6 lakini kwakua ni refa wa mfukoni akaweka dk 6.

Tatu kwenye muda wa nyongeza uwezi ukaweka nyongeza wakati mpira haukusimama.

Refa Mdoe ana tabia zote za refa wa zamani wa Mchongo Abdalah Kama mbuzi.
We ulikuwa unaangalia mpira au umesimuliwa. Umesahau pale kipa wao allivyolala akidai ameumia... kolo ni kolo tu. Kila mmoja ashinde mechi zake....

Naona mmeumia sana
 
Kwanza alifunika Tuta bahati mbaya mshika kibendera Ali mpotezea maana tukio alikua ana kimbia nalo mpaka kwenye kibendera Cha Kona na presha ya wachezaji wa Mashujaa aka potezea.
Pili muda ulio simama mpira haukufika dk 6 lakini kwakua ni refa wa mfukoni akaweka dk 6.

Tatu kwenye muda wa nyongeza uwezi ukaweka nyongeza wakati mpira haukusimama.

Refa Mdoe ana tabia zote za refa wa zamani wa Mchongo Abdalah Kama mbuzi.
kwanza jitahidi kuangalia mpira. baada ya dk 90 kumalizika ziliongezwa 6 za nyongeza. Dk ya 93 au 94 johora aliumia na akatibiwa kwa dk 1 na sek kama 15 na refarii akaja kuzifidia. Huna akili.
 
Ivyo vyoote ulivyo taja ukivijumlisha havifiki dk 1 na ukitaka upate muda ulio potea sio shida ni kuangalia Ile running time ya kwenye TV wakati mpira unaendelea haiongopi.

Hii mechi haikutakiwa izidi dk 3/4 za nyongeza.
We mbwa tu
 
Kwanza alifunika Tuta bahati mbaya mshika kibendera Ali mpotezea maana tukio alikua ana kimbia nalo mpaka kwenye kibendera Cha Kona na presha ya wachezaji wa Mashujaa aka potezea.
Pili muda ulio simama mpira haukufika dk 6 lakini kwakua ni refa wa mfukoni akaweka dk 6.

Tatu kwenye muda wa nyongeza uwezi ukaweka nyongeza wakati mpira haukusimama.

Refa Mdoe ana tabia zote za refa wa zamani wa Mchongo Abdalah Kama mbuzi.
1. Ile ilikuwa ni penati halali kabisa ( refa hakuweka penati eti mchezaji wa mashujaa kagusa mpira, mbona haikuwa kona sasa) unasema refa kapewa maagizo kama ni maagizo si angeshikilia msimamo wake kuwa ile ni penati nani angepinga?
2. Kwenye dakika sita za nyongeza kipa wa mashujaa aliumia na kutibiwa ulitegemea refa asifidie ule muda?
 
04f2bcda11c84b38907123757263e4a6.jpg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Back
Top Bottom