Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Kaharibu sana ishu ya BIMA za Afya, kaleta majanga tu
Mtu mmoja hawezi leta hatma.ya mfuko.mkubwa Kama NHIF. Serikali.yenyewe ndio inalemaza mfuko. Baadae Wanatafuta mbuzi wa kafara. Utashangaa miezi sita ijayo anarudi
 
Hakuna Waziri anayefanya maamuzi binafsi. Yote wanayofanya ni kwa mujibu wa maelekezo ya Baraza la Mawaziri.
 
Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
Mmezoea mediocre performance aise. 90% kwa kipi? Yule hajatoboa hata 12%.
Wako Watanzania wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kuongoza wizara na kuleta picha tofauti.
Hawa wengi wao ni wapiga zumari wa Malkia tu, lakini hawana uwezo wala maono ya kuongoza vitu nyeti kama wizara!
 
Kaiharibu sana bima ya afya.

Ova
Nipe alivyoharibu, mimi naona kama alijitahidi ingawa kuna hapa na pale alimess up...... toto afya, vifurushi kuwa ghali na matibabu mengine kutokuwepo....LAKINI maamuzi kama haya kuwa dialysis, CT scan etc isiwekwe kwenye bima si yake binafsi....I stand to be corrected
 
Mmezoea mediocre performance aise. 90% kwa kipi? Yule hajatoboa hata 12%.
Wako Watanzania wenzetu wenye uwezo mkubwa wa kuongoza wizara na kuleta picha tofauti.
Hawa wengi wao ni wapiga zumari wa Malkia tu, lakini hawana uwezo wala maono ya kuongoza vitu nyeti kama wizara!
Fine , ni wapi hasa aliharibu mpaka kuwa awarded less than 12%
 
Nafkiri wakubwa wabadili upepo... Wampe Janabi Wizara ya Afya, lakini kabla ya kumpa/kumteua wamuweke kikao kizito na awaambie/awaeleze anafkiri nani akimuachia mikoba ya nafasi yake aliyopo sasa atafanya kazi maradufu?!

Wazo tu, nipo tayari kukosolewa 🙌
 
Kwa teuzi hizi inakuwa ngumu hata Kujua uteuzi wa Leo unazingatia Nini Hasa maana hata wanaoteua ukiwatizama tu nao ni Pasua vichwa kama wanaoteuliwa
 
Nipe alivyoharibu, mimi naona kama alijitahidi ingawa kuna hapa na pale alimess up...... toto afya, vifurushi kuwa ghali na matibabu mengine kutokuwepo....LAKINI maamuzi kama haya kuwa dialysis, CT scan etc isiwekwe kwenye bima si yake binafsi....I stand to be corrected
Wizara ya Afya inahitaji wachapa kazi sio wanaojitahidi. Wakati mjamzito Mariam Zahoro anakufa kwa uzembe kwenye Kituo cha Afya cha Kabuku, nyote mlipiga kelele za kumsulubu, ila sasa katolewa mnalalamika.

Ova
 
Back
Top Bottom