Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
- Thread starter
- #21
Hapa nadhani tukubaliane kuwa ubinafsi ndo unawapeleka huko kwenye uongozi na wala si kutenda haki kwa waTZ wote.
Kitu kingine ni kuwa je ushaona kiongozi akienda japo kufanya checkup kwenye hospitali zetu???....Kama mambo yenyewe ni kama kwenye hiyo picha ya hospitali unadhani watadhubutu??...mambo yote, hata kupimwa miwani wanafanyia majuu...
Hospitali hizi ni zetu sisi. Yaani walengwa wa hizi hospitali ni sisi, wala siyo wao. Walengwa wa hilo jengo ni wao wala siyo sisi!
Sipafahamu vyema but ni msasani, ni mbele kidogo ya kituo cha mabasi (Kisiwani)
Kuna ofisi za XCar, ingia na hiyo njia mbele kuna Kibanda cha chips ...kuanzia mida ya saa sita unampata mitaa hiyo.