Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Hapa nadhani tukubaliane kuwa ubinafsi ndo unawapeleka huko kwenye uongozi na wala si kutenda haki kwa waTZ wote.

Kitu kingine ni kuwa je ushaona kiongozi akienda japo kufanya checkup kwenye hospitali zetu???....Kama mambo yenyewe ni kama kwenye hiyo picha ya hospitali unadhani watadhubutu??...mambo yote, hata kupimwa miwani wanafanyia majuu...

Hospitali hizi ni zetu sisi. Yaani walengwa wa hizi hospitali ni sisi, wala siyo wao. Walengwa wa hilo jengo ni wao wala siyo sisi!

Sipafahamu vyema but ni msasani, ni mbele kidogo ya kituo cha mabasi (Kisiwani)
Kuna ofisi za XCar, ingia na hiyo njia mbele kuna Kibanda cha chips ...kuanzia mida ya saa sita unampata mitaa hiyo.
 
kwenye hiyo mitaa anashinda peke yake? Waliopo huko je

Msanii ni kioo cha Jamii.
Akisaidiwa kunasuka kwenye haya Madudu atakuwa Balozi mzuri kwa vijana wenzie.
Tafakari ndugu.
 
Anamtaka Matola tu akamsaidie

Mimi,wewe na yeyote yule anaweza msaidia. Hapa nimewasilisha maoni tu.
Ikitokea kuna lolote la kujitolea kama Pesa ya kumsaidia kwenda Rehab nipo tayari kujitolea.
Tumeagizwa KUPENDANA NA KUSAIDIANA.
 
Last edited by a moderator:
Msanii ni kioo cha Jamii.
Akisaidiwa kunasuka kwenye haya Madudu atakuwa Balozi mzuri kwa vijana wenzie.
Tafakari ndugu.

yaani kak usipoteze muda kujibu watu mbona hoja nzuri tu jamani
chidi ndo baas tena
 
Kwa mwelekeo aliokuwa anaenda nao ni wazi alikuwa anajichimbia kaburi lake mwenyewe
 
daaaaaaaaaaah
 

Attachments

  • 1408475912904.jpg
    1408475912904.jpg
    50.7 KB · Views: 673
Hata kurecord amechangiwa na diamond na duly tena kwa kubembelezwa. Alipofikia sipo
 
Kwani huyo ni chid?? Jamani kama ndo hivyo inahitajika rescue kwa huyu kijana. Huyo freemason hapo na midole yake kuashiria ushetani c amsaidie mwenzake??
 
nilianza kumuona kitambo kinondoni ushoga umekolea na Tid nikajua wanapiga mambo yao na dogo Abubakary Mzuri (BSS) anafuata mkumbo wao.
 
nilianza kumuona kitambo kinondoni ushoga umekolea na Tid nikajua wanapiga mambo yao na dogo Abubakary Mzuri (BSS) anafuata mkumbo wao.

Tunapaswa kuwasaidia. Kama unauwezo wa kumsaidia huyo dogo fanya hima ndugu yangu.

Chidi Benz kachoka hadi anatia huruma, kuna wapuuzi humu ndani wanashindwa toa mchango wa mawazo nini kifanyike kuwasaidia hawa vijana wao wanaweka koment za Kipuuzi.
Cc appoh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom