King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Yaani wacheze kwenye mdomo wa mamba halafu mamba acheke na kitoweo kitamu chenye chumvichumvi kama hawa?Huwa nawaza je CCM hawana black site wamewahifadhi huko Ben sanane, Polepole na wengine wengi?
Eti Pole pole alimnunua Mashinji, Nassari na LijualikaliNi takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Acha ubwege we zombie, yule alikuwa fala, lofa, jinga lililokosa maarifa, msijifiche kwenye uzalendo! Mtu amepewa heshima ya kuwa katibu mwenezi CCM, MBUNGE, BALOZI anakuja kuacha mwenyewe bila kuwa na succession plan inayoeleweka eti kuja kumtukana na kumzushia Rais aliye madarakani! Wakati wa Magu alishiriki kunyanyasa, kupoteza na kuua watu. Hayo ndiyo malipo yakeNi takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Mkuu miezi naneNi takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Wanadai mwili wa binadamu akifa utupwe ama kuzikwa hadi ubaki mifupa kabis ni miaka mitano bila sanduku. Ukiwa ndani ya sanduku miaka 10Hao vampire hawachekeshi , usikute kashaliwa na mchwa siku mingi
Raisi gani aliiye madarakani.kuja kumtukana na kumzushia Rais aliye madarakani!
Polepole alishauliwa mkuu ndiyo basi tena kama alivyouliwa Ben saanane , Mdude , Soka na wengine wengi.Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.Polepole na Mdude Nyagali walishakufa siku nyingi.
Tufikirie in that way na tusonge mbele.
Hiyo gharama ya kuwalisha na kuwatibu muda wote huo anatoa nani?Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.
Ukiwa mahabusu gharama zako zote huwa anagharamia nani?Hiyo gharama ya kuwalisha na kuwatibu muda wote huo anatoa nani?
Ukiachana na gharama za kuwatunza. Kuna gharama nyingne kubwa zaidi . Ambayo ni kufahamika waliko na kama wako Hai.Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.
Hao ni tofauti na watuhuniwa waliomahabusu kisheriaUkiwa mahabusu gharama zako zote huwa anagharamia nani?
Kwa alivyowaanika Ccm wamwache hai? Bila shaka wewe utakua mgeni kwenye hii nchi na Ccm utakua unawasikia tu kwenye magazeti.Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.