Mke ndio analipa kodi?Akitafunwa mke wa mwenye nyumba amependa mwenyewe,,
Ila mke wa mpangaji anakuwa hana jinsi kutoa mbususu kwa mwenye nyumba..
--kodi,
--hofu ya kupewa notice kuhama.
Nk.
Mi nimepanga hamna kadhia yoyote tatizo umepanga wapi buza au tandale,huko hata ukijenga tatizo liko palepaleKatika maisha ya mwanada Nyumba ni hitaji la muhimu sana.
Waliosoma Manslow Theory of Human Needs wanafanamu vizuri.
Mtu unaenda kufanya kazi mbali na Nyumbani kwako. Manyanyaso ya nyumba za kupanga yanafahamika.
Ni bora ujenge hata chumba kimoja chako uanzie maisha, huku ukiendelea kujenga kidogo kidogo.
Tulioanzia nyumba za kupanga tunazifahamu kadhia zake.
Maliza kusoma kwanza.Hii ndio point yangu
Yani nyumba kwanza halafu mavazi? DuhHitaji muhimu la kwanza la mtu ni kula chakula. La pili ni usalama wa mwili, nyumba, mavazi, malazi bora.
Endelea kutengeneza.Bado natengeneza vyanzo vya uhakika vya mpunga
Bora kuwa na kakibanda kwanzaMtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Umeambiwa ni hitaji la pili, linajumuisha hivyo vyote kwa ulinzi wa mwili.
Sasa akifa ataonaje madhara ya kutokujengaUkitaka kuona Umuhimu wa Kujenga, Kufa alafu uache watoto wako 3 ama 4 kwenye nyumba ya Kupanga.
Hata kama unadhani ni umasikini kuanza kujenga lakini ni muhimu sana Kaka. Tafakari kwenye hilo
Hakuna Baba mwenye gari ila kuna Baba mwenye nyumba.
Sawa. Endelea kutengeneza.Bado natengeneza vyanzo vya uhakika vya mpunga
wewe akili zako hazina akiliMtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.
Wabongo aka waturutumbi wao wanachojua uwa ni kujenga nyumba tu ndio investment, kumbe ni akili za kimaskini walizonazo. Kujenga nyumba ni investment ikiwa tu hio nyumba ni ya kupangisha sio kuishi otherwise ni liability, utumie milioni 100 uisimike tu hapo ardhini huku unapiga miayo kila siku mwishowe ufe kwa diabetes shauri ya kufakamia vyakula vya ng'ombe i.e ugali wa mahindi na maharage π π π . waturutumbi aka wabongo uwa hawawazi kua hio pesa ya kujenga wangeweka fixed deposits au wangenunua bonds BOT ni investment nzuri kuliko kujenga kibanda huko kigamboni. US baby. π π π πMtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho ndio kitawezesha mengine ikiwamo ujenzi.