RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Kwa upande wangu kujenga sio ttzo ila ttzo ni kwamba wanakimbilia kujenga nyumba ndogo
Mtu anakimbilia kujenga af mwisho wa sku anajenga nyumba ya vyumba 2 au 3 vya kulala na kulingana na maisha yetu ya kiafrika na kitanzania mtu uyo anataka awe na mfanyakaz na bado uzazi wetu ni wawatoto weng watoto 3 kuendelea na kulingana na maisha yetu watanzania ukijenga tu lazma upate ndgu wa kuja kuishi kwako mwisho wa sku ndan ya miaka 5 to 10 nyumba ishakua ndogo inabid ujipange kuongeza nyumba ingne apo ndo wanazid kuongeza umaskini
Kwa uwelewa wangu nyumba ni kitu cha kudumu na nyumba ni kitu cha kujenga mara moja unasahau unaamia kuwaza vtu vingne ila hii ya kujenga nyumba baada ya miaka kazaa unajenga nyingne au unaongeza vyumba ni ishara ya umaskini na kutokujipanga
Ni vema utumie miaka 10 kujenga nyumba nzuri na bora