Masikini leo wako kwenye purukushani ya kuangalia mpira

Inasikitisha sana akili ya mtanzania
 
Kile kidole chako cha mguu kilikatwa na nani na kwa nini?
 
Ni heri mara 100 kuliko kuangalia mbwembwe za chawa.
 
Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afurahi pale alipo. Duniani hatuwezi kuwa sawa iwe jua iwe mvua.
 
Kwahio mkuu jana Kwenye UEFA wale mashabiki waliojaa viwanjani hawana kazi za kufanya?
Kila mtu na starehe yake.kuna mtu yupo tayari kukopa ili tu aridhishe moyo wake.
Lakini kumbuka uwanjani hawaendi mashabiki wa simba tu hata wa yanga wataenda.Nao hawana kazi?
Acha kika mtu afanye anachokioenda ilimradi havunji sheria za nchi.
 
Chief 😁 naomba mtaji japo LAKI 5 ya kuanzia.
 
wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Hiki kinapingana na mada yako kama umekiri wana jezi ina maana wana uwezo wa kununua, wapo kwenye gari aina ya coaster ina maana wamekodi hiyo gari na hivyo vitu ni luxury kwenye uchumi ina maana hao watu siyo maskini maana maskini hawezi tumia pesa yake huko zaidi ya necessity goods

Hao uliowaona wana uwezo siyo maskini, hapa umetupiga kamba au hujaorganize vizuri mada yako
 
Acha kuombaomba hela kwa watu wenye midomo michafu, nyie ndo mnampa kichwa huyu jamaa.
Tulia nawewe huyu anataka kujifanya anahela sasa agawe hela kwa wana jf wote pesa haiongei kwa maneno ni vitendo!, asije hapa kubwabwaja maneno tu aonyeshe ningekuwa nashida si ningeenda kuwaomba ninaowamudu!, nawakati tajiri maneno!
 
Hivi kupata pesa kwa njia ya 'ndagu' (ushirikina) ni jambo unaloweza kujivunia kuwa una akili ya kutafuta pesa? Hovyo kabisa.
 
Kaangalie mashabiki wa kwenye UEFA mionekano Yao halafu nenda kaangalie wa Leo hapo taifa ndio utajua uhalisia wa kutokua na kazi
 
Halafu unaweza kustaajabu wewe unaewaita wenzio maskini ndio fukara wa kutupwa.
 
Mtatuua masikini kwa masimango jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…