Masikini leo wako kwenye purukushani ya kuangalia mpira

Tafuta hela masikini wewe
 
tajiri kawavalishe masikini
 
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Nimekuhurumia sana, mama yako atalia sana
 
Kweli. Hakuna tajiri wa kuja jf kuponda masikini.
Kapumbavu haka, ukute kapo kwa shemeji yake. Wenye nyumba wapo kazini, kenyewe kamening'iniza kende baada ya kuvimbiwa kiporo cha ubwabwa na maharage ya juzi kanaandika pumba huku akimsumbua beki tatu wa dada yake.
 
Kapumbavu haka, ukute kapo kwa shemeji yake. Wenye nyumba wapo kazini, kenyewe kamevimbiwa kiporo cha ubwabwa na maharage ya juzi kanaandika pumba huku akimsumbua beki tatu wa dada yake.
Tafuta hela masikini wewe
 
tupiamo tupicha basi naweee
 
Tafuta hela masikini wewe
wewe ni fukara wa pesa mpaka akili. Kima kama nyinyi huishia kupakatwa na wanaume wenzenu ili mvimbe mjini.

Yani nakuvutia picha kabisa hapo ulipo umevaa kapensi kamoja kalikopauka, vest imechoka na vikandambili huku ukiwa unatumia ki tecno kilichojaa rubber band ukiwa busy kutukana wanaume ambao wana uwezo wa kukufuga kama paka kwa kukupa kula na kukutuma ukanunue condom dukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…