Masikini leo wako kwenye purukushani ya kuangalia mpira


Unaleta logical fallacy inayoitwa strawman fallacy yaani unahamisha hoja kwa ujanja ili iwe rahisi kuishambulia

Mambo ya CAF africa unaingiza uefa

Je timu za Tanzania huwa zinashirika UEFA ?

Mifano niliyotoa yote ni ya mechi za kina mamelodi, al ahly, esperence ambao ni wa africa wenzetu
 
Kuna mambo huwa yanafurahisha, jamaa anaongea point sana, utakuwa kuna kikundi muda wa kazi kipo kinachambua mpira kwenye vijiwe vya kahawa
 
Pole sana mkuu kwa fikra zako watu wotee wanaoamua kutumia muda wao kuburudika na mpira ni maskini?
Nb.
Si kweli kwamba maskini hatakiwi kuburudika.
 
Mkuu umejuaje kwamba wote ni masikini? Kwa ajili yakua na ndevu au kupuriZa vuvuZera
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Nilikuwa sijui Chief Godlove yuko JF.
A few weeks ago nilikuwa nataka kupata utajiri kwa kutumia nguvu za Giza,kwa hiyo nikamwambia mtu anayeishi karibu na na makaburi ya Kinondoni anitafutie fuvu aniletee,nataka nilitumie kwa ibada.
Yule mtu akaniambia,"I certainly will not bring you a skull"
Kwa hiyo sijakuwa tajiri.
 
Wewe una kipi cha kujiona tajiri? Tuache na Umasikini Wetu Ila Chunguza Vizuri Katika Ndoa Yako Kuna Watoto Wetu Fucken
 
Hao watu waliojichokea ndio mtaji wa ccm kuendelea kuwepo madarakani
 
Watoa kafara mpo bize kutafta wa kuwatoa kafara ili hela zenu ziongezeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…