Unafikiri kila unayemuona humu If ni Kapuku. Nilichonacho Nina Imani hata babako na mama yako Hawana. Unajiita Chief Godlove yule wa pesa za Ndangu Mngese sana weweTafuta hela masikini wewe
mtoa kafara wa wapi, mnuka makalio mmoja tu huyu.Watoa kafara mpo bize kutafta wa kuwatoa kafara ili hela zenu ziongezeke.
Huyu jamaa tusikimbilie kumuita mjinga.We jamaa bado unaujinga wakizamani sana
SahihiAcha kuombaomba hela kwa watu wenye midomo michafu, nyie ndo mnampa kichwa huyu jamaa.
Kama kawaChieeff Niaje 😂😂
Kama Mo Dewji atakuwepo uwanjani basi unapaswa kupimwa afya yako ya akili😄Tafuta hela masikini wewe
Atakuchoshakiazi tu wewe!..
kazi zenyewe hakuna labda kazi za bila malipo.Watanzania hatuna kazi
Kwenye mechi za robo fainali caf champions league timu karibu zote zimecheza na mashabiki wachache.
1. Mamelodi kacheza home game na esperence mashabiki hawakufika hata nusu uwanja
2. Al ahly kacheza home game na al hilal mashabiki hawakufika hata nusu uwanja
3. Esperence nae jana kacheza home game na mamelodi tunisia na yeye nae mashabiki hawakujaa kabisa.
ILa sasa mechi zikichezwa Tanzania , sisi ndio tunajaa sababu hatuna kazi za kufanya hivyo tunajazana uwanjani
sasa wewe kama ni tajiri tumia wana jf wote dollar miamia! tuone sasa kama unazo...
Acha kuombaomba hela kwa watu wenye midomo michafu, nyie ndo mnampa kichwa huyu jamaa.
Umemuona uwanjani huyo mtu uliemtajaKama Mo Dewji atakuwepo uwanjani basi unapaswa kupimwa afya yako ya akili😄
Na chukuwachakomapema wanagonga pale pale!Leo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Kiukweli, ni huzuni kuona jinsi ujinga na umasikini vinavyoshikana mikono.