Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Dah!..
 
Lowassa namfahamu kwa sababu nimefanya naye kazi akiwa kijana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu. Alikuwa na mori wa kazi. Alisaidia watu wengi. Ukitaja makosa yake ni namna nyingine tu ya kusema alikuwa binadamu, siyo malaika. Kila binadamu ana makosa yake ingawa wenzetu wenye madaraka makubwa makosa yao yana madhara makubwa zaidi. Vianzo vya makosa ni vingi. Kutokujua, kudanganywa. Tumwombee Lowassa kheri na pia tumwombe Mungu na sisi hatimaye tuwe na mwisho mwema. RIP Edward Lowassa.
 

Kiazi kabisa and slave

Kama ningeandika neno mzshi badala mzushi , would you comment the same thing ?

Hivi nyie RANGI nyeusi hasa mnaoishi huko third world , why kwenye English inapokuja suala hata la typing error or grammar ishu linaleta attention sana kwenu? Ni utumwa au ?

Dogo English sio akili , it is just a language , just note that. una sound akili yako ipo kwenye sandwich.

Nina hakika huwezi kuongea daki 5 straight English bila kuuma uma, and that is not a problem ndugu….. ni lugha tu hiyo. Badili mtazamo wa akili ndogo
 
Watanzania wanapenda kujikita kwenye petty issues sana
Kuongea kingereza ndo kipimo cha akili
 
Ups & downs ktk harakati za maisha ya mtu yeyote si justification ya laana.

"Laana" ni dhana ya mtu mwenyewe kichwani mwake.

Usii - justify dhana yako potofu kwa maisha ya mzee huyu. Kama ni dhambi fulani aliifanya, wewe huwezi kuwa mhukumu wa dhambi hiyo Bali ni Mungu mwenyewe aliyemuumba.

Na honestly, story yako ni maneno tu yasiyoweza kuthibitishwa na ushahidi wowote kama kweli unao. Possibly umesikia tu na ukayabeba hivyo hivyo..

By the way, hata kama ndiyo hivyo, kwani ni nani amhesabiaye mtu haki au dhambi?

Na Je, ni nani anayesamehe dhambi? Je, si ni Mungu Yehova mwenyewe?

Wewe unajua Edward Ngoyai Lowassa ametengeneza vipi na Mungu wake bila wewe kujua pamoja na hayo unayoyaona wewe ni makosa au dhambi zake?

Hayo unayoyaona kama ups and downs za mzee Lowassa haziwezi kuwa ni justification ya hicho ambacho wewe umekiita "laana"..

Hakuna mtu ambaye maisha yake ni tambarare tu. Kila mtu ana ups & downs zake. Na hiyo ndiyo raha na radha ya maisha ilipo!

Wewe hapo ulipo una ups & downs za kutosha za maisha yako. Wewe hapo failures & successes za kutosha za maisha yako.

Je, tuseme nini mahali ambapo uli - fail au uliangukia pua?

Ni kwa sababu umelaaniwa?

Looh!.... Kama unaamini hivyo, basi una shida upstairs!!
 
Ku
Poleni sana, kwa kweli kibinadamu nawahurumia. Lakini historia huwa wakati mwingine ina mafunzo machungu.
Na ningependa kukuambia, Jane, kuwapost hii si ya kumchafua marehemu, bali kueleza yaliyotokea kweli na matokeo yake kiimani.
Kumbe ndio maana hakufanikiwa kisiasa.
Mi nilijua ni sababu zingine zaidi ya hizo.
 
Dah, na wewe umedumu nalo moyoni muda mrefu sana bila shaka ulikua ukiomba sana hili lililotokea litokee ndipo utoe nyongo dah πŸ’

Hata na hivyo Lazima limekupa madhara kiasi moyoni maana uponyaji na ahuweni ya gubu huwa ni msamaha, kung'ag'ana nalo muda wote huo dah, si mchezo...

Hata na hivyo hayupo aliemkamilifu.
Mzee ameumaliza mwendo.
Mwenyezi Mungu ampokee na kumuweka mahali anapostahili...
 
Ishini vizuri na watu acha maneno mengi

Tuwe tayari kujifunza na sio kupinga pinga tu
 

Dunia hii haina mbabe. Na siku zetu zinahesabika. Mpaka leo hii watu wachache bado wanawadhulumu watanzania kwa kutumia mali na madaraka wanayopewa kwa hila na dhuluma. Kama vile wao na wajukuu zao wataishi milele.

Muda unafundisha mengi. Baadae tunajikuta tunabaki kujilaumu na kusikitika. Majuto mjukuu. Cha kushangaza ni kama vile bado hatujifunzi.
RIP Mzee Lowasa. It has never been easy anyway...ndio maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…