Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Yana mwisho hayo tunakuoelekea vitu vimeshakuwa ni vya fashion nyumba mjini ni mortgage na zipo furnished wewe unahama na wallet tu mengine unayakuta huko huko..., Afrika na nchi nyingi thirdworld ndio watu wanahama na mpaka ndoo...
Tunapoelekea mtu wa kawaida hata kujenga huwezi lakini ni rahisi kuwa na mortgage kwahio hata nyumba ukiamua kila mwaka unabadilisha (ni kuongeza au kupunguza mortgage) huko tutafika sooner than we think