Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

JF ukiwa na stress niwewe tu 🤣🤣🤣🤣🤣 huu uzi ni unacheka 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Endeleeni kutuburudisha....
 
hali ngumu ya maisha, na ile ni dalili ya watanzania halisi....wengi tupo hivyo
 
Samahani mkuu, kwani umasikini na uchafu vinaingiliana vipi?

Au lengo lako lilikuwa kukashifu watu?

Sijajua kipimo ulichotumia kuthibitisha kuwa umasikini na uchafu vinashabihiana.

Hao matajiri unaowasifu au kuwaona leo, kumbuka nao walikuwa maskini.

Halafu jifunze kumind your own damn business, huo muda wa kufatilia mambo ya watu nao ni uchafu
Sawa me Ni masikini na msafi siku nahama kitu Cha thamani Ni godoro na sabufa baada yahapo hakuna meza Wala kitanda Wala Kochi Ni vindoo tu daa Ni aibu sana
 
Sawa me Ni masikini na msafi siku nahama kitu Cha thamani Ni godoro na sabufa baada yahapo hakuna meza Wala kitanda Wala Kochi Ni vindoo tu daa Ni aibu sana
🤣🤣Mda mwingne sijui watu wanaona umaskini ni sifa au hurumaa....
Hatuna maisha wengi ila sio mwemvuli wa kutoshtuana.
 

Bila katiba mpya, mambo yataendelea kuwa hivyo.
 
Hali hii inatokana na CCM kushindwa kuleta maendeleo kwa zaidi ya miaka 50 huku viongozi wa CCM wakitajirika.
Uongozi.jpg
 
Masikini atateseka km nje ni mtu wa Show-off,
Mchafu wewe huna pa kuponea, maana hali ya uchumi haihalalishi uchafu hapo sasa lazima uwe na timing ya giza na majiranii.

Maana kwenye kuhama bana! watu sikuhio utaona kama wameongezeka halafu kila yule unahisi anakuangalia.

Ukiwa zako ndani ukiangalia vyombo vyako unaona mbona viko poa tuuu, jarb kuhama uonee, kila ukiviangalia pale nje unaona kama ni stoo ya nje,

Hujawahi ona Uchafu kwenye godoro, siku hio litoe uone, unakutana na bonge ya Map na visiwa vya kutosha, hujakaa sawa limepigwa na jua hutojua mende katokea wapiii......

Aaaaah ikifika hapo ndio unavikana unajisemea kimoyomoyo hivi siongozani navyoo ng'ooo, Mnagawana njia na mbebaji.

Godoro ndio mtihani mkubwa kuliko yotee, inafika hatua unalazimisha godogo liingie kwenye Safleti.
Mkuu, Jf wote wako njema bhana.

Wote wamejenga, wana magari na maisha wameshayapatia sana kwa ujumla.

Hayo mambo ya kuhama na mende, labda unawapa umakini wa kuchabo takataka za wahamaji, lakini si wao.
 
Umenikumbusha mbali sana mdau... Eti ni kwanini watu hawahami Mchana? Tumehama sana enzi hizo bado nalishwa na Mzee, kwenye kujitegemea kwangu nimeshahama mara mbili na zote ilikuwa ni mchàna wa jua kali aisee acha watoto wajae kunishangaa na baadhi ya mama zao
 
“kwamba kirikuu ikikukaribia unamwambia boda aongeze mwendo” you made my day 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Halafu tambua usafi unahusisha vipengele vingi kijana.
Kumbuka Kuna usafi wa roho,mwili,kiakiii.

Unaeza kuta jitu Kama wewe ni Safi kimwili ila ndani ya moyo limejaza chuki nzito Kama kinyesi.
Kijana mbona maneno makali hivi? Au kwakuwa ulikuwa na miadi na ziraili ukaghairi? Acha lugha chafu
 
Back
Top Bottom