Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

Yana mwisho hayo tunakuoelekea vitu vimeshakuwa ni vya fashion nyumba mjini ni mortgage na zipo furnished wewe unahama na wallet tu mengine unayakuta huko huko..., Afrika na nchi nyingi thirdworld ndio watu wanahama na mpaka ndoo...

Tunapoelekea mtu wa kawaida hata kujenga huwezi lakini ni rahisi kuwa na mortgage kwahio hata nyumba ukiamua kila mwaka unabadilisha (ni kuongeza au kupunguza mortgage) huko tutafika sooner than we think
 
Eti kirikuu ikiikaribia boda anakimbia 😆 😆 😆 😆
 
Mnasafari ndefu km mnaogopa hawa Binadamu wenzenu na kuwazingatia ambao hawajui hatua moja yao Mbele Nini kinaweza kuwatokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimechekaaa sana sanaa mpk sasa nacheka aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maskini ni ikizidi sana kusafirisha mizigo yake kirukulu au baja matairi matatu.

Cheki godoro sasa
 
Tutafika, lakini kumbuka kuna mtu anapanga chumba kimoja uswahili, kumudu hii unayosema ni ngumu sana,

Na ndio wanahama usiku, maana vitu vimechoka na ni vichafu,

Wengine wanakaa vyumba vya giza, yaani hakuna umeme, anaona vitu vyake vipo poa tu,
Siku akivitoa uwanjani kwenye mwanga, lazima avikimbie, nawapa pole wenye virikuu wanaovibebe,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…