Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

JF ukiwa na stress niwewe tu 🀣🀣🀣🀣🀣 huu uzi ni unacheka πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Endeleeni kutuburudisha....
 
hali ngumu ya maisha, na ile ni dalili ya watanzania halisi....wengi tupo hivyo
 
Sawa me Ni masikini na msafi siku nahama kitu Cha thamani Ni godoro na sabufa baada yahapo hakuna meza Wala kitanda Wala Kochi Ni vindoo tu daa Ni aibu sana
 
Sawa me Ni masikini na msafi siku nahama kitu Cha thamani Ni godoro na sabufa baada yahapo hakuna meza Wala kitanda Wala Kochi Ni vindoo tu daa Ni aibu sana
🀣🀣Mda mwingne sijui watu wanaona umaskini ni sifa au hurumaa....
Hatuna maisha wengi ila sio mwemvuli wa kutoshtuana.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 

Bila katiba mpya, mambo yataendelea kuwa hivyo.
 
Mkuu, Jf wote wako njema bhana.

Wote wamejenga, wana magari na maisha wameshayapatia sana kwa ujumla.

Hayo mambo ya kuhama na mende, labda unawapa umakini wa kuchabo takataka za wahamaji, lakini si wao.
 
Umenikumbusha mbali sana mdau... Eti ni kwanini watu hawahami Mchana? Tumehama sana enzi hizo bado nalishwa na Mzee, kwenye kujitegemea kwangu nimeshahama mara mbili na zote ilikuwa ni mchΓ na wa jua kali aisee acha watoto wajae kunishangaa na baadhi ya mama zao
 
Mim sipendi kuhama usiku kwa sababu ya kupanga vitu bora nihame mapema ili nipange vitu mapema nilale
 
β€œkwamba kirikuu ikikukaribia unamwambia boda aongeze mwendo” you made my day 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Halafu tambua usafi unahusisha vipengele vingi kijana.
Kumbuka Kuna usafi wa roho,mwili,kiakiii.

Unaeza kuta jitu Kama wewe ni Safi kimwili ila ndani ya moyo limejaza chuki nzito Kama kinyesi.
Kijana mbona maneno makali hivi? Au kwakuwa ulikuwa na miadi na ziraili ukaghairi? Acha lugha chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…