Masikini na wachafu wanateseka na kuaibika sana wanapohama makazi

Halafu tambua usafi unahusisha vipengele vingi kijana.
Kumbuka Kuna usafi wa roho,mwili,kiakiii.

Unaeza kuta jitu Kama wewe ni Safi kimwili ila ndani ya moyo limejaza chuki nzito Kama kinyesi.
Relaaax, relaaax, kunywa maji jipe muda hio hali itapita brother....
Jitahidi pia usiwe unakaa peke yako mda mwingi.
 
Duuu
 
Daaah umenichekesha sana mkuu JF ni kiboko nimerudia kusoma mara mbili mbili ujue..
 
Unatakiwa kuhama tu ndgu.. Epuka kuzingatia watu wasio kuhusu pindi unapotekeleza majukumu yako
Many people do things to boost their self image that smt prove to be distrarous and distraction of their personal development. People must focus/work on inner self actualization rather than self image and recognition
 
Hahahahahahaha kiukweli huu uzi haujaniacha salama... ukiwa maskini huna vitu huwa ni balaa tupu. Huwa inauma zaidi kwa sisi wazee wa kuji-brand nje kwa kuvaa vizuri na kula vizuri kumbe ndani balaa tupu... Godoro jembamba hatari hata kitanda huna. Sahani 2, vijiko 2, sufuria 2 (moja ndogo), na begi lako tu. Omba isivuje kuwa unahama hiyo siku maana majirani muda wote wanakulia timing... wakati fulani nilibahatika kuhama usiku na umeme ulikua umekatika. Hiyo siku niliona kabisa Mungu hakutaka niaibike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…