Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

Be kind but don't let people use you.

Money is better than time.
 
Ukiishi na MTU yeyote awe masikini au tajiri hakikisha unatumia kanuni ya PLAY LOW KEY hii itakufanywa usitabirike Kama unacho au hauna.

Jamii zetu za watu weusi zitaanza kukufnyia ubaya hasa pale utakapotaka kuonesha umewazidi kila kitu na hii unaweza fanyiwa na MTU either is broke or financial stable.

Kumbuka kuwa a complete a human being its just a journey hivyo don't condemned any body .

Umasikini unatafsiriwa as a curse kwasababu unakunyima muda Wa mzuri Wa kushukuru , kuwaza Kwa kina, kutimiza wajibu wako na mwisho siku ukipata hela kidogo unaishia kupata matatizo makubwa kuzidi hata kipindi hauna hela kabisa.


Poverty is not a curse but is the mental illness .
 
Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazi
 
Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazi
kuna jamaa hapo chini kasema umasikini sio laana ila ni ugonjwa wa akili......kuna shehe ubwabwa mmoja nilijuta kumfahamu aiseee😂😂😂, yaani ile kutoka msikitini mkisalimiana tu utasikia shehe nipe buku basi, ukimuambia baadae basi nitakupa, utasikia twende shehe ukaninunulie mkate, .....yaani mpaka naamua kucheka tu😂😂
 
Kuwa shekh au mchungaji haikufanyi kuwa na maisha mazuri , kusonga mbele ni jambo moja na kuwa mtu wa dini ni jambo jingine.

Ikiwa upo vizuri usimcheke MTU Ila shukuru Kwa maarifa na hekima ulizonazo.

50 cent alikuwa Kama wewe anawashangaa watu wanaoomba kuwa kwanini wasifanye kazi , na mwisho baada ya kupata awereness aligundua kuwa na hustling spirt sio jambo la kila MTU.


Kazungumizia katika kitabu chake ,hustle harder ,hustle smarter. Kwamba we need to cultivate the hustler spirit as to get on top
Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazi
 
Tatizo ukimpa hata connection ya kibarua mahali afanyi,anakua mzito,anakusubiria akupige mzinga,mpk tunabadili njia ya kupita
 

Bado u mtoto, huna baya wala kosa.
 
Kama alikuonjea pisi yako msamehe itakuwa alimuelewa sana,tafuta nyingine pesa unayo.
sijawahi kugombea mwanamke na haiwezi kutokea maisha yangu yote....mwanamke ni kama nguo nzuri ukiwa na pesa utapata kulingana na pesa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…