Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nin kimekukuta,
Inakuaje maskini hampendani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nin kimekukuta,
Inakuaje maskini hampendani?
kabisa yani.Usimfanye maskini kuwa rafiki yako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mm Salam za masikini huwa sipokei
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna jambo sielewi.Aliku snitch kwa mama mwenye nyumba kwamba umefanyaje?Kwani huwa unakunya chumbani?
Ukiona bado unaharibiwa kwa mama mwenye nyumbani basi wewe ni maskini.
Be kind but don't let people use you.Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.
Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.
Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma
Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.
Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazimimi kuna mmoja nilimuokota msikitini ni shehe ubwabwa na kanzu yake chakavu iliyofubaa, nikamuonea huruma nikampeleka kwangu, kula bure, kulala bure na mpaka na nguo nilikuwa nampa cha ajabu nikiondoka kwenda kwenye harakati zangu akawa ananisnich kwa mama mwenye nyumba yaani mpaka siku naamua kumtimua alikuwa ameniharibia pakubwa....
kuna jamaa hapo chini kasema umasikini sio laana ila ni ugonjwa wa akili......kuna shehe ubwabwa mmoja nilijuta kumfahamu aiseee😂😂😂, yaani ile kutoka msikitini mkisalimiana tu utasikia shehe nipe buku basi, ukimuambia baadae basi nitakupa, utasikia twende shehe ukaninunulie mkate, .....yaani mpaka naamua kucheka tu😂😂Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazi
Mashehe ubwabwa sijui kwa nini wengi wao ni choka mbaya na hawataki kazi
Tatizo ukimpa hata connection ya kibarua mahali afanyi,anakua mzito,anakusubiria akupige mzinga,mpk tunabadili njia ya kupitaKuwa shekh au mchungaji haikufanyi kuwa na maisha mazuri , kusonga mbele ni jambo moja na kuwa mtu wa dini ni jambo jingine.
Ikiwa upo vizuri usimcheke MTU Ila shukuru Kwa maarifa na hekima ulizonazo.
50 cent alikuwa Kama wewe anawashangaa watu wanaoomba kuwa kwanini wasifanye kazi , na mwisho baada ya kupata awereness aligundua kuwa na hustling spirt sio jambo la kila MTU.
Kazungumizia katika kitabu chake ,hustle harder ,hustle smarter. Kwamba we need to cultivate the hustler spirit as to get on top
Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.
Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.
Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma
Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.
Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
sipingani na mawazo yako...asante kwa kuchangia mkuu.Bado u mtoto, huna baya wala kosa.
Sawa soma nilichoandika ,kuwa na hustling spirit -roho ya upambanaji is not for every one.Tatizo ukimpa hata connection ya kibarua mahali afanyi,anakua mzito,anakusubiria akupige mzinga,mpk tunabadili njia ya kupita
sipingani na mawazo yako...asante kwa kuchangia mkuu.
Mshahara wa laki tano mnaita wenzenu masikini.Yamenikuta ndio maana nimeliongelea hili, kumbe ndio maana matajiri hawataki mazoea na watu masikini.
minimum hiyo mkuuMshahara wa laki tano mnaita wenzenu masikini.
sijawahi kugombea mwanamke na haiwezi kutokea maisha yangu yote....mwanamke ni kama nguo nzuri ukiwa na pesa utapata kulingana na pesa yako.Kama alikuonjea pisi yako msamehe itakuwa alimuelewa sana,tafuta nyingine pesa unayo.
tujikubali mkuu, tukijitaa itakuwaje?Kataa umasikini
Kataa ndoa
Kataa ukristo
Kataa ccm
Na pia jikatae wewe mwenyewe