LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu demu aje amrob huyu jamaa vitu vyake ( kumbuka hawa ni wamarekani sio wahuni wa manzese/ Haya Mambo si ndo wanafanyaga uswahilini huku choka mbaya)
Siku ya tukio jamaa Kam text demu ( When u will be free?) Demu akampangia tarehe muda na eneo ambalo kitakuwa zuri kwa kibaka mwenzake kumrob huyu kijana mchapakazi.
So jamaa alipofika na gari lake, huyu kibaka masikini mwenye miaka 18 akaenda akampiga risasi wakamuibia vitu vyake.
Jamaa alifariki lakini huyo demu na kibaka mwenzake wote wamekamatwa na sasa hivi wanaendelea na kesi.
Kwanini asinge mchukulia vitu vyake tu bila kumuua? Because he is not smart.
Matukio kama haya ni mengi sana nchini Marekani.
Cha kujiuliza ni inakuwaje ma tukio haya yanatokea kwenye taifa tajiri kama Marekani?
Jibu ni rahisi sana. Marekani ni taifa la kibepari. Ubepari una sifa kuu zifuatazo👇👇
Una madaraja makuu mawili ya watu. Daraja la kwanza ni matajiri sana na daraja la pili ni masikini sana. Hawa matajiri sana ni wachache na masikini sana ndio wengi ( Takwimu zinaonyesha asilimia 70 ya wamarekani hawana dola elfu tano kwenye akaunti zao)
Marekani ni taifa lililo endelea ki uchumi lakini idadi kubwa ya raia wake wanaishi maisha ya hovyo na hatarishi sana.
Kwa kutazama matendo ya raia wengi wa Marekani unaweza kuwa sahihi ukisema " USA is a third world country"
Being a first world or a third world country is not determined by the economic development of the country but how how well civilized are people who live in that country.
Kama nahitaji kumiliki gun ili niweze kusurvive kwenye jamii ninayo ishi, jamii hiyo haipaswi kuwa a first world country.
Why own a gun? Protecting my self against who? Armed robbers? What are armed robbers doing in na first world country? First world country ilitakiwa kuwa na mfumo imara wa kijamii ambao automatically uta wa kick out hao robbers.
Wanazidiwa mpaka na nchi kama Rwanda.
No armed robbers in Rwanda. No civilian own a gun in Rwanda.
Nitakuwa mtu wa mwisho duniani kuitoa USA kwenye kundi la Third world countries.