Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
SA inatangazwa haina Amani ila hauwezi kusikia sijui wanasiasa au watumishi wanapigwa marungu kitakachotokea itakua history..Nchi yoyote ambayo upatikanaji wa silaha ni rahisi sana sio sehemu salama kuishi,kuwekeza,kutembelea.
Hapo SA Tuu labda liwe jukumu la kiofisi ila siwezi kwenda kwa sababu yoyote binafsi