Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

Mleta mada, inaonekana hujui kabisa umaskini wa kitanzania, huu wa tz ni zaidi ya umaskini ..ni ufukara
Masikini wa Marekani wana access na gun.

Bora hawa mafukara wa hapa bongo wataishia kukuroga tu lakini masikini wa Marekani watakupiga risasi
 
Masikini wa Marekani wana access na gun.

Bora hawa mafukara wa hapa bongo wataishia kukuroga tu lakini masikini wa Marekani watakupiga risasi
Bora kufa Kwa risasi kuliko kulogwa, fikiria mtu kakugeuza umekuwa mwehu.
 
Bora kufa Kwa risasi kuliko kulogwa, fikiria mtu kakugeuza umekuwa mwehu.
Hakunaga uchawi wa hivyo walio nao ni wachache sana. Inaweza kumchukua mtu miaka thelathini kumpata mganga wa hivyo so obviously atakata tamaa mapema ama atakupuuzia
 
USA is land of opportunities inakuaje unafananisha USA na TZ nchi ambayo bado inajitafuta kiuchumi ,kisiasa na kiteknolojia ?
 
USA is land of opportunities inakuaje unafananisha USA na TZ nchi ambayo bado inajitafuta kiuchumi ,kisiasa na kiteknolojia ?
Sema ameweka tacts kuhusu umasikini wao.

Na badala ya kuchambua hizo, unaleta ushabiki, eti 'land of oppotrtunities' hiyo land of opportunity kisha i debunk hapa.

...hatahivyo mkuu, hebu tuonyeshe wapi alipofananisha USA na TZ? bila ya kusahau, ni lini USA iligota kujitafuta kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia?
 
Mleta mada, inaonekana hujui kabisa umaskini wa kitanzania, huu wa tz ni zaidi ya umaskini ..ni ufukara
Mkuu tambua tu sijaleta hii mada👀. Ila ningependa kujuzwa kuhusu huo 'umaskini wa kitanzania' upoje?
 
hlo jumba wataliuza tu, 10690usd haziwatoshi kuponda raha marekani. grand millenial
10690$ ni child support kumbuka kuna pesa pia alipata nyingi tu na mpaka sasa hiyo kesi bado inaendelea maana jamaa alifunguliwa mashitaka mengine ya kudharau maamuzi ya mahakama kwa kutokutoa child support kwa miezi kadhaa hapo kuna fines nyingi nyingi tu huyo mwanamke ata enjoy.

All in all jamaa anatoboka tu masikini.
 
yalikuwa ni makosa makubwa sana kumpa mwanamke haki,
 
Kama Asilimia 70% ya wamarekani hawana kwenye akaunti $ 10000 tu ambayo huku Tanzania ni pesa ya Supu!

Kama ndivyo basi muhamiaji Kiranga na wenzie najua hata $ 100 tu kwenye akaunti hawana!
 
mzee unaleta masihara sasa, unawajua vibaka wa manzese, mwananyamala kisiwani, kino mosque/shamba,sogodo n.k? naamini Tz kuna umasikini uliokithiri kuliko U.S baby!
 
Hao wasaliti hizo mali walizopata kwa hila zinaweza kuja kuwa cost zaidi,kule kupigana risasi ni jambo la kawaida kabisa.
 
Mleta mada unaona jinsi wa Tanzania wanavyo uwawa na polisi mchana kweupe,,,padre kitima Yuko mahututi Kuna nani kakamatwa? Na vipi kuhusu mdude nae?
Tz ndo nchi hatari zaidi kuishi ukilinganisha na marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…