Masikini wasipewe vibali kujenga mjini. Huchafua miji na vijumba vyao

Imeeleweka sana,
Na hii tabia ya kutumia barabara Moja na Masikini ife kabisa,Yaani barabara Hiyo Hiyo inapita V8 halafu unapitisha Baiskeli yako ya Madafu..
 


Shida siyo umasikini, shida ni serikali yako kutopima maeneo wakisingizia hawana pesa.
 
Umaskini ni wakuchukia kwa namna yoyote ile , na maskini kujenga nyumba ni uchafuzi wa makazi kuna dalali mmoja ana akili za kimaskini alipewa viwanja huko Goba kutokana na umaskini wake viwanja amevikata 10Γ—10 mtaa ulikuwa wa kishua sasa hvi hata Manzese ikasome
Kabeba maskini wenzake kawajaza kule hata barabara ya kupeleka matirio hakuna ,
 


Utaambiwa unamaneno makali Kwa wavujajasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…