TAIKON WA FASIHI kutoka DODOMA, ni kweli.
Haya masikini sio Mashetani tu, bali ni Magaidi. Hayafai kwa mijini na hata huku kwetu vijijini. Yanatambulika kwa kuwachochea masela kwa viroba ili wafanye fujo wakati wa uchaguzi. Kubwa lao linatambulika kwa FARU JOHN.
Miaka 30 sasa (tangu 1992), pamoja na ruzuku ya Serikali, yanapanga Ufipa, yameshindwa kujenga hata Ofisi moja nchini, sijui endapo ikatokea yakitawala nchi, yatatekeleza mradi upi?
Samahani, pamoja na kuandika haya, sisi matajiri tunatambua kuwa, hakuna maisha bila ushirikiano...haya Masikini/Mashetani tutaendelea kuishi nayo tu hadi yatakapo jitambua na kuingia uchumi wa kati.
NAPITA