Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,125
- 725
Kwaiyo biashara ya kubadilisha fedha ilikuwa Ni biashara haramu?!Umeambiwa biashara hio usitishe mkapewa utaratibu wewe umekaidi ulitaka usaidiweje?
Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.Kwaiyo biashara ya kubadilisha fedha ilikuwa Ni biashara haramu?!
Mbona lenyeww lilikuwa jizi tuTofautisha UBEPARI na UFISADI ULIOTUKUKA CHINI YA CCM.
CCM zote, ya Magufuli, hata hii ya sasa ni UNYONYAJI MTUPU.
Basi subiria jiwe arudi nawewe upige pesa, kaa utulie hivyohivyo! Umesikia mzalendo?Kabla ya Magufuli watu walifanya kazi na hata alipokuwa madarakani watu walifanya kazi zaidi. Mnaolalamikia utawala wa Magufuli ni wale ambao mlikuwa kazini mkiiba hela kijanjajanja kwa kuandika proposal za kifisadi, mkiweka 10% kwenye mifumo ya tender, procurement na wale vyeti feki. Hayo yote yalikuwa halali hadi alipotokea mtu akasema ni marufuku kuendeleza hizo tabia na kuwatimua timua.
Tajiri aliyenyooka na mfanyabiashara mkubwa kama Bhakressa alikuwa na hakuwahi kuingia matatizoni na Magufuli. Mbona sijawahi msikia akilalamikia awamu ya 5? Nyie wapuuzi wakwepa kodi ndio mlinyooshwa na mkono wa chuma.
Leseni walipewa na Nani Sasa za kufanya biashara? Yaani jiwe alizalisha vijana wenye roho mbaya Sana,mtu ilikuwa furaha yake wote muwe masikiniIlikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.
Mie napiga hela bila kona kona mkuu, zimenyooka hata kama sio nyingi ila nazipata kihalaliBasi subiria jiwe arudi nawewe upige pesa, kaa utulie hivyohivyo! Umesikia mzalendo?
Watu wanawachukia wezi wa mali za umma na kisha wakatajirika !! Kama watu walikuona ulivyoanzia kuutafuta huo utajiri wako kwa kushona viatu na kuuza ice cream kisha ukapanda kidogo kidogo huku wakikuona watu hawawezi kukuchukia !! Lakini ukipata mali nyingi ghafla bin vuu hapo ndipo tunajua umetumia njia za haramu kujitajirisha !! Lazima utachukiwa tu!! Haiwezekani umeingia madarakani kwa mfano miaka kumi tu au miaka mitano tu wewe uje kuwa tajiri wa kutupa japo kwa kujificha ficha halafu utegemee watu eti hawatajua na watakupenda tu ! Hiyo usahau maana watu watajua tu na watakuchukia maana umewaibia !! Watu wengine wanadhani mali za Umma hazina mwenyewe hata ukiziiba hakuna dhambi !! Hapo ndipo wanapojidanganya maana ukiiba pesa za Umma ujue umemdhulumu mpaka mtoto ambaye bado hajazaliwa !! Kwa maana atakosa baadhi ya huduma alizokuwa anastahili kuzipata !! Tafakari !!Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.
Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake. Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.
Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao. Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.
Umaskini mbaya wakuu.
Extrovert Suala la maduka ya fedha lilifanyika ghafla na mtindo wa kuchukua zile fedha ulikuwa wa utaratibu wenye viashiria vya unyang'anyi. Ukumbuke maduka ya fedha yapo kisheria.Watu hawakupewa notification kabla kuwa wafunge? Kama ulikaidi zikachukuliwa kosa ni la nani hapo?
Nenda Arusha uulize kama kuna notifications. Watu waliamka asubuhi wakakutana na mabakabaka na mitutu ya bunduki. Unaweza fikiri nchi ipo vitani.Umeambiwa biashara hio usitishe mkapewa utaratibu wewe umekaidi ulitaka usaidiweje?
Kweli kabisa 100% πKabla ya Magufuli watu walifanya kazi na hata alipokuwa madarakani watu walifanya kazi zaidi. Mnaolalamikia utawala wa Magufuli ni wale ambao mlikuwa kazini mkiiba hela kijanjajanja kwa kuandika proposal za kifisadi, mkiweka 10% kwenye mifumo ya tender, procurement na wale vyeti feki. Hayo yote yalikuwa halali hadi alipotokea mtu akasema ni marufuku kuendeleza hizo tabia na kuwatimua timua.
Tajiri aliyenyooka na mfanyabiashara mkubwa kama Bhakressa alikuwa na hakuwahi kuingia matatizoni na Magufuli. Mbona sijawahi msikia akilalamikia awamu ya 5? Nyie wapuuzi wakwepa kodi ndio mlinyooshwa na mkono wa chuma.
Taratibu zetu zinasemaje iwapo mtu anatuhumiwa kutakatisha fedha? Unatuma wanajeshi wachukue fedha zake kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa mahakamani?Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.
Upelekewe mahakamani ili ukamuhonge jaji na hakimu? Utoke nje salamaTaratibu zetu zinasemaje iwapo mtu anatuhumiwa kutakatisha fedha? Unatuma wanajeshi wachukue fedha zake kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa mahakamani?
Kuna mzee mmoja yuko Moshi, alikuwa landlord wangu na best yake laswai. Yeye Million 800 zake zilipona alisanuliwa mapema laswai alikaza ubongo ikala kwake πππNenda Arusha uulize kama kuna notifications. Watu waliamka asubuhi wakakutana na mabakabaka na mitutu ya bunduki. Unaweza fikiri nchi ipo vitani.
Wao huo ndio wanauita ubepari yani, huo ni wizi na ufisadi wala sio utajiri wa kujivunia. Fisadi ni mtu alielaaniwa ndio maana huwezi kukuta kokote duniani mlafi anatoa msaada kwa watu wa hali ya chini.Watu wanawachukia wezi wa mali za umma na kisha wakatajirika !! Kama watu walikuona ulivyoanzia kuutafuta huo utajiri wako kwa kushona viatu na kuuza ice cream kisha ukapanda kidogo kidogo huku wakikuona watu hawawezi kukuchukia !! Lakini ukipata mali nyingi ghafla bin vuu hapo ndipo tunajua umetumia njia za haramu kujitajirisha !! Lazima utachukiwa tu!! Haiwezekani umeingia madarakani kwa mfano miaka kumi tu au miaka mitano tu wewe uje kuwa tajiri wa kutupa japo kwa kujificha ficha halafu utegemee watu eti hawatajua na watakupenda tu ! Hiyo usahau maana watu watajua tu na watakuchukia maana umewaibia !! Watu wengine wanadhani mali za Umma hazina mwenyewe hata ukiziiba hakuna dhambi !! Hapo ndipo wanapojidanganya maana ukiiba pesa za Umma ujue umemdhulumu mpaka mtoto ambaye bado hajazaliwa !! Kwa maana atakosa baadhi ya huduma alizokuwa anastahili kuzipata !! Tafakari !!