Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

Kichwa kopo kabisa. Watu wametaabika unatuletea unazi wa mashogo na utapel wenu. Acha undezi.

Wewe ndiye mwenye roho mbaya kupita. Ila mungu kawatumia salamu kupitita aliyekuwa mkuu wenu.
 
Kabla ya Magufuli watu walifanya kazi na hata alipokuwa madarakani watu walifanya kazi zaidi. Mnaolalamikia utawala wa Magufuli ni wale ambao mlikuwa kazini mkiiba hela kijanjajanja kwa kuandika proposal za kifisadi, mkiweka 10% kwenye mifumo ya tender, procurement na wale vyeti feki. Hayo yote yalikuwa halali hadi alipotokea mtu akasema ni marufuku kuendeleza hizo tabia na kuwatimua timua.

Tajiri aliyenyooka na mfanyabiashara mkubwa kama Bhakressa alikuwa na hakuwahi kuingia matatizoni na Magufuli. Mbona sijawahi msikia akilalamikia awamu ya 5? Nyie wapuuzi wakwepa kodi ndio mlinyooshwa na mkono wa chuma.
Basi subiria jiwe arudi nawewe upige pesa, kaa utulie hivyohivyo! Umesikia mzalendo?
 
Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.
Leseni walipewa na Nani Sasa za kufanya biashara? Yaani jiwe alizalisha vijana wenye roho mbaya Sana,mtu ilikuwa furaha yake wote muwe masikini
 
Kosa lilianza kwa Mwalimu wako alokufundisha ujamaa, huo sio, huo ni wivu na uvivu, kwenye falsafa ya Ujamaa hakuna kitu kama hiko, someni ndugu
 
Hizi ni baadhi ya tenets za sera ya Ujamaa, na na ndani yake kuna Self-reliance, mtu anakuwaje mvivu halafu awe self reliant, be serious bwana!View attachment 2317646
IMG_20220808_082716.jpg
 
Habari!
Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA.

Hata.
UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila mmoja anakula kipawa na juhudi zake. Magufuli alipotumbua viongozi ilikuwa faraja kwa makundi hayo niliyoyataja, alipowafilisi mabosi kundi hili walishangilia.

Kundi hili kila siku linaishi likiamini kuwa matajiri wote ni mafisadi na wezi wa pesa zao. Kundi hili furaha yao ni kuona wa juu anashuka chini hata kama wao hawatapanda juu.

Umaskini mbaya wakuu.
Watu wanawachukia wezi wa mali za umma na kisha wakatajirika !! Kama watu walikuona ulivyoanzia kuutafuta huo utajiri wako kwa kushona viatu na kuuza ice cream kisha ukapanda kidogo kidogo huku wakikuona watu hawawezi kukuchukia !! Lakini ukipata mali nyingi ghafla bin vuu hapo ndipo tunajua umetumia njia za haramu kujitajirisha !! Lazima utachukiwa tu!! Haiwezekani umeingia madarakani kwa mfano miaka kumi tu au miaka mitano tu wewe uje kuwa tajiri wa kutupa japo kwa kujificha ficha halafu utegemee watu eti hawatajua na watakupenda tu ! Hiyo usahau maana watu watajua tu na watakuchukia maana umewaibia !! Watu wengine wanadhani mali za Umma hazina mwenyewe hata ukiziiba hakuna dhambi !! Hapo ndipo wanapojidanganya maana ukiiba pesa za Umma ujue umemdhulumu mpaka mtoto ambaye bado hajazaliwa !! Kwa maana atakosa baadhi ya huduma alizokuwa anastahili kuzipata !! Tafakari !!
 
Watu hawakupewa notification kabla kuwa wafunge? Kama ulikaidi zikachukuliwa kosa ni la nani hapo?
Extrovert Suala la maduka ya fedha lilifanyika ghafla na mtindo wa kuchukua zile fedha ulikuwa wa utaratibu wenye viashiria vya unyang'anyi. Ukumbuke maduka ya fedha yapo kisheria.

Sisi tuna taratibu zetu iwapo kuna watu wamevunja sheria hutumi wanajeshi wakamnyang'anye fedha zote, unamfungulia mashtaka.
 
Umeambiwa biashara hio usitishe mkapewa utaratibu wewe umekaidi ulitaka usaidiweje?
Nenda Arusha uulize kama kuna notifications. Watu waliamka asubuhi wakakutana na mabakabaka na mitutu ya bunduki. Unaweza fikiri nchi ipo vitani.
 
Kabla ya Magufuli watu walifanya kazi na hata alipokuwa madarakani watu walifanya kazi zaidi. Mnaolalamikia utawala wa Magufuli ni wale ambao mlikuwa kazini mkiiba hela kijanjajanja kwa kuandika proposal za kifisadi, mkiweka 10% kwenye mifumo ya tender, procurement na wale vyeti feki. Hayo yote yalikuwa halali hadi alipotokea mtu akasema ni marufuku kuendeleza hizo tabia na kuwatimua timua.

Tajiri aliyenyooka na mfanyabiashara mkubwa kama Bhakressa alikuwa na hakuwahi kuingia matatizoni na Magufuli. Mbona sijawahi msikia akilalamikia awamu ya 5? Nyie wapuuzi wakwepa kodi ndio mlinyooshwa na mkono wa chuma.
Kweli kabisa 100% 👍
 
JPM alikuwa kiongozi mwenye msimamo na jasiri, hilo lilikuwa jambo zuri kwa nchi. Tatizo ujasiri wake ulivuka mipaka kwenye baadhi ya mambo akawa katili badala ya jasiri.
 
Ilikuwa biashara ya kutakatisha fedha kiharamu wengi walitumia kuua thamani ya tsh yetu.
Taratibu zetu zinasemaje iwapo mtu anatuhumiwa kutakatisha fedha? Unatuma wanajeshi wachukue fedha zake kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa mahakamani?
 
Taratibu zetu zinasemaje iwapo mtu anatuhumiwa kutakatisha fedha? Unatuma wanajeshi wachukue fedha zake kwa tuhuma ambazo hazijathibitishwa mahakamani?
Upelekewe mahakamani ili ukamuhonge jaji na hakimu? Utoke nje salama
 
Tatizo jingine watu huku ni wafuasi wa mtu na sio matendo yake. Huwezi mponda JPM 100% au kumsifia 100%.

Kuna mambo mazuri sana alifanya mtu unajivunia kwamba raisi tunaye, halafu kuna mambo alifanya unajiuliza 2015 hii nchi tulifanya maamuzi sahihi?
 
Nenda Arusha uulize kama kuna notifications. Watu waliamka asubuhi wakakutana na mabakabaka na mitutu ya bunduki. Unaweza fikiri nchi ipo vitani.
Kuna mzee mmoja yuko Moshi, alikuwa landlord wangu na best yake laswai. Yeye Million 800 zake zilipona alisanuliwa mapema laswai alikaza ubongo ikala kwake 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Watu wanawachukia wezi wa mali za umma na kisha wakatajirika !! Kama watu walikuona ulivyoanzia kuutafuta huo utajiri wako kwa kushona viatu na kuuza ice cream kisha ukapanda kidogo kidogo huku wakikuona watu hawawezi kukuchukia !! Lakini ukipata mali nyingi ghafla bin vuu hapo ndipo tunajua umetumia njia za haramu kujitajirisha !! Lazima utachukiwa tu!! Haiwezekani umeingia madarakani kwa mfano miaka kumi tu au miaka mitano tu wewe uje kuwa tajiri wa kutupa japo kwa kujificha ficha halafu utegemee watu eti hawatajua na watakupenda tu ! Hiyo usahau maana watu watajua tu na watakuchukia maana umewaibia !! Watu wengine wanadhani mali za Umma hazina mwenyewe hata ukiziiba hakuna dhambi !! Hapo ndipo wanapojidanganya maana ukiiba pesa za Umma ujue umemdhulumu mpaka mtoto ambaye bado hajazaliwa !! Kwa maana atakosa baadhi ya huduma alizokuwa anastahili kuzipata !! Tafakari !!
Wao huo ndio wanauita ubepari yani, huo ni wizi na ufisadi wala sio utajiri wa kujivunia. Fisadi ni mtu alielaaniwa ndio maana huwezi kukuta kokote duniani mlafi anatoa msaada kwa watu wa hali ya chini.

Huu ni wasifu wa viongozi wengi wa siasa Africa. Na hata bongo wanaomkandia Nyerere sababu ni hii hii.
 
Back
Top Bottom