Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Kwa hakika 😔
 
Jamani jamani 😃 kwani chotera unasemaje kuhusu suala la mwanamke (mtu ambaye ana miguu miwili, mikono miwili, macho mawili pamoja na akili timamu) kulialia njaa kwa mwanaume?
Nimeeleza mengi huko juu fanya jaribio dogo la kumnyima maslahi yoyote huyo uliyenaye kwa siku 90 , utamjua uhalisia wake ataanza kukutukana, kudharau na kukujibu kwa kiburi hapo ndio ujue kwako alilenga maslahi yake , hivo utafahamu uko na mtu wa aina gani na fanya hivo makusudi kabisa ujionee vituko vyao hawa watu
 
Umejuaje ??Mfano mtu ni mfanyakazi wa Taasisi X ,Na ni Last born hana shida ndogondogo unataka apewe Hela ya Nn?Hela ya Nguo ya Nn,Nguo hana?
 
Hii spana nzito Mzee Kuna demu niliwai muazima kitu changu nanikamsisitiza TU kuwa lazima ntakichukuwa ,eeh siku nakuja kumuomba et ananinyima na ni changu yaani nilitaka tubadilishane majengo ya Serikali maana alinikera sana
 
Binafsi Kila pesa kwangu ina thamani hata kama ni ndogo kiasi gani, ndio maana pesa zangu ni kwaajili ya maendeleo yangu na watoto wangu, watu wengine wa karibu. Kama usipofikiri sawasawa mchakato wa ngono Hadi ukamilike humaliza sana pesa, kijana wa kiume uko unapambana na maisha basi wekeza ujana wako vizuri Ili baadae ulie kivulini vizuri, tatizo linakuja tukiona wadada wa mjini Hawa wa kalio kubwa, sura nzuri ya make up basi tunachanganyikiwa, tumia akili.
 
Wadada wengi in nature kuwa na double standards 😔 anaweza kuchukia kuona wewe unaongea na maex wako ila yeye hataki hizo principles ziwe kwake, yaani umwambie asiongee na maex wake!
Mdada atachukia akiona unavaa pensi mbele ya wadada majirani zako ila yeys haoni aibu kupiga stori na Ayubu akiwa na Kanga moja 😃 😀 😄
DOUBLE STANDARDS zinawamaliza sana wadada
 
Msimamo ni huo , ngono haitoondoa uhai wako , kama Una akili timamu hutowekeza kwenye ngono maana haina faida kwenye maisha yako , ngono ni ulaghai Tu uliotukuzwa duniani
 
Umeongea hoja za msingi sana! Ubarikiwe sana Mkuu 😊
 
Msimamo ni huo , ngono haitoondoa uhai wako , kama Una akili timamu hutowekeza kwenye ngono maana haina faida kwenye maisha yako , ngono ni ulaghai Tu uliotukuzwa duniani
Na mbaya ni kwamba ni rahisi kupata ngono kipindi hiki kuliko mapenzi/mahaba
 
Hii ni slogan tu, wote jinsia ya ke na me wanategemeana kutatua hisia zao kingono. Kwani mwanamke hana hisia.
Ni suala la demand and Supply siyo hisia au nyege.

Wakati mwanamke ana nyege akiomba atatuliwe shida zake demand ipoje na wakati wewe una minyege ukataka utatuliwe shida zako demand ipoje?

Kama unajua kujumlisha na kutoa nadhani jibu unalo boss.
 
Kuna mademu hawana aibu..ni nusu mtu nusu shetani. Kuna mmoja kaniomba nimuongezee million sita akanunue gari,nikamuuliza ana kiasi gani bank akabaki anajiumauma midomo😀😀.
Sijui alinichukuliaje yule boya?
Ila broke women ndo naona huwa wana confidence za ajabu sana! Milioni sita?! As if unaichuma kwenye mti tu?! Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…