Unajua sometimes kama mwanaume, ni bora ukampa hela mdada ambae unajua she is broke & hana kazi hata kama amekupiga kizinga wiki 2 tangu muonane, unafanya kama kumsaidia tu.
Kuna hawa wadada nashindwa kuwaelewa, mtu mnalingana mshahara pengine kakuzidi mshahara, ila bado anakupiga kizinga siku 2 baada ya mshahara wake kutoka 🤣🤣na mna mwezi tangu mjuane, halafu imagine hapo anategemea umuoe/aolewe. Mimi nlipata wa ivo nkamkimbia nikajisemea huenda mm sio type yake, au kuna mahali ana shida ya kisaikolojia, Cha ajabu wadada wengi wanaopiga vizinga wengi ni wachoyo balaaa, anachokuomba wewe, mfano kakuomba biskuti, ukimuomba yeye akununulie biskuti ya 500 hawezi kukupa ilhali ni kizawadi kidogo
Hannah