Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Sasa tunapandishaje iq za hawa mabinti?
 
Reactions: Tsh
Angekuja mchafu mchafu pia ungelalamika. Kama vipi achana na broke girls tafuta ambao wameshajipata tayari halafu uje hapa kuleta mrejesho
So inamaana huyo manzi Ni mchafu Ila anataka kuwa msafi pale tu anapokutana na mwanaume?
 
So inamaana huyo manzi Ni mchafu Ila anataka kuwa msafi pale tu anapokutana na mwanaume?
Kuna vitu tunashindwa kujua kuwa ni personal responsibility, hata ukiingia kwenye ndoa bado kuna majukumu ambayo ni personal.

Usafi binafsi (personal hygiene) ni suala ambalo linaanza kwako, its lame business kusema kuwa mwanamke aje kukusafishia geto lako, au mwanamke kumwambia mwanaume kuwa anunue pedi!? It's super lame!
Kwahiyo kama huyo mtu hayupo je utakufa au utabakia siku 365¼ mchafu!?

Mawazo mengi ya wanawake ni kwamba mwanaume ndo mkombozi wa kila kitu ndani ya maisha yake. Akulipie kodi, akununulie msosi, alipe utilities, akupe allowance 😔 in return unatoa kipochi tu!? Serious!?

Una pesa iliyobaki kwenye allowance ila still bado unatengeneza situations kwamba bila mwanaume hauwezi kuwa na good hygiene!?
 
Sasa tunapandishaje iq za hawa mabinti?

IQ zinapandishwa wakati control ipo kwako mzazi. kile ulichomjaza wakati una control ndo hufanya kazi wakati huna control.

Na usimfungie binti yako kwenye box, mpe binti yako ulimwengu aujue huku ukimfundisha kuudhibiti.

Mfano, unakuta mtu anamnyima mtoto smartphone mpaka anafika chuo ni marufuku kuwa na smartphone, binti anapewa smartphone na mzabzab, mzazi hujui kuwa binti yako ana macho matatu unamwambia ukimaliza chuo ntakununulia Tecno nzuri.

Unadhani nini kitatokea hapo zaidi ya kutinduliwa mpaka nya igeuke ndani nje?
 
Alooo hatari kweli kweli
 
Poleni wenye watoto wa kike maana sie tuliobarikiwa vijisenti tunawafumua marinda tuu
Pole itolewe kwa jamii yote maana hata wa kiume nao wapo hatarini.

Uzuri wakati tunawafumua marinda kwa kutumia vijisenti vyetu tunajiharibia wenyewe maana wajukuu zetu watalelewa na wafirwaji.

Au unadhani mwanao mkewe hatotinduliwa marinda?
 
Pole itolewe kwa jamii yote maana hata wa kiume nao wapo hatarini.

Uzuri wakati tunawafumua marinda kwa kutumia vijisenti vyetu tunajiharibia wenyewe maana wajukuu zetu watalelewa na wafirwaji.

Au unadhani mwanao mkewe hatotinduliwa marinda?
Ah wapi hawezi tinduliwa linda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…