Anapata malipo yake si ndio mkuu. Ila asije kukuroga bureNilishamwambia ukija kushika mimba itakula kwako. Anatii.
Yaani ni mtiifu kweli kweli. Nilishamwambia kosa lake alilofanya Mwanzoni kwa kunitesa na kuniona sina maana.
Kwani unavyotoa invoice kwani wewe ni mlemavu omba omba?Wanaume maskini mna mapovu sana🤣🤣
Nikwambie tu mkuu
Wewe hutaki kuombwa ombwa na hao unaowaita malaya basi usiwafuate.
Mnahangaika na malaya wakiwapa invoice mnashikwa hasira na kujaa uchungu
Tafuta chako tulia nacho kitunze kikufae
Hata kwao sipajui tumejuana tukiwa field yeye katoka chuo kipo moshi mm nikiwa chuo chuga hukoHahaha.....kweli maana gharana za kupima lazima uache si chini ya 50k.
Alikuwa wa wapi huyu?
Siamini kwenye uchawi hivyo silogeki hata nukta.Anapata malipo yake si ndio mkuu. Ila asije kukuroga bure
Kumbe Bado Mwanafunzi na K ishatepete hivyo? Duuh kaanza mchezo kitambo sana huyo.Hata kwao sipajui tumejuana tukiwa field yeye katoka chuo kipo moshi mm nikiwa chuo chuga huko
Muda mkuu miaka kama 4 sasa ishakata tumemaliza vyuo mwaka 2020 so zilipendwaKumbe Bado Mwanafunzi na K ishatepete hivyo? Duuh kaanza mchezo kitambo sana huyo.
Ujumbe muhimu sana mwanamke ni yule aliyeko nyumbani ndo anastahili kuhudumiwa vilivyo Hawa wengine ni Malaya tuAnauza huyo mkuu. Usipate tabu. Demu akishaanza mada za kuhudumiwa kutake care sijui support tupa kule anakuletea shida zake kwan hana wazazi wake. Tutahudumia wake zetu sio madanga
Kabisa mkuu. Tutawalipa ujira wao tukisha maliza haja zetuUjumbe muhimu sana mwanamke ni yule aliyeko nyumbani ndo anastahili kuhudumiwa vilivyo Hawa wengine ni Malaya tu
Bado akiondoka anakuacha na uchovu yan hasara juu ya hasara.Ukishamwaga tu unalala kidogo ukiamka mawazo yanaanza.
1. Hana ukimwi kweli
2. Vipi magonjwa mengine
3. Gharama za Hotel, chakula na usafiri.
Unajikuta umeshakata laki tatu chaap. Mpaka aondoke sita zimeondoka......huu ni mtaji mkubwa wa biashara
Ukiangalia game yenyewe mbovu hata kama ingekuwa kali lakini huna ulichogain zaidi ya ku Loose
Hiyo njia inasave sana hela kuliko kumilik Demu.Kabisa mkuu. Tutawalipa ujira wao tukisha maliza haja zetu
SahihiKabisa mkuu. Tutawalipa ujira wao tukisha maliza haja zetu
WqqwqqmmkUmemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!
Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
😀😀😀Kbsa mkuuwakuu pia tujikumbushe nyodo za wanawake wanaojimudu kujilipia kila kitu unaweza ukajiona kidudumtu
Kwani si huwa mnawatafuta wenyewe? Au hutuma maombi? Msichana yupo katulia lakini unaenda mchokonoa mwenyewe Kisha unarudi kulalamika, hiyo dinner mpeleke dada yako au shangazi yako.
Acha umalayaKwani si huwa mnawatafuta wenyewe? Au hutuma maombi? Msichana yupo katulia lakini unaenda mchokonoa mwenyewe Kisha unarudi kulalamika, hiyo dinner mpeleke dada yako au shangazi yako.
Kwani unavyotoa invoice kwani wewe ni mlemavu omba omba?
Ndio maana wanawatindua na kuwaacha. Mnadhani wanaume hawana akili? Unabaki unalia lia ooh tulikuwa tunapendana akaniacha na mimba. Kumbe Msela kajiongeza
Wakiume MkuuUmemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!
Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Tutaendelea kuwafumua na kuwatupa kule kama tissue paper.Umaskini unakusumbua wewe!!
Hela za kutoa huna usingepiga tarambee humu
Ukipenda kubadili mboga uwe na pesa🤣🤣
Hakuna free papuchi
Wawape burebure tu?? 😂
Kwel amna free pussyUmaskini unakusumbua wewe!!
Hela za kutoa huna usingepiga tarambee humu
Ukipenda kubadili mboga uwe na pesa🤣🤣
Hakuna free papuchi
Wawape burebure tu?? 😂
🙌😂 kumbe wewe ni maskini na ujinga unao??Tutaendelea kuwafumua na kuwatupa kule kama tissue paper.
Kwanza wewe ni Single maza unaleta msongo wako wa mawazo jukwaa hili kwani sisi ndio tulikuzalisha?