Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Nilishamwambia ukija kushika mimba itakula kwako. Anatii.

Yaani ni mtiifu kweli kweli. Nilishamwambia kosa lake alilofanya Mwanzoni kwa kunitesa na kuniona sina maana.
Anapata malipo yake si ndio mkuu. Ila asije kukuroga bure
 
Wanaume maskini mna mapovu sana🤣🤣
Nikwambie tu mkuu
Wewe hutaki kuombwa ombwa na hao unaowaita malaya basi usiwafuate.
Mnahangaika na malaya wakiwapa invoice mnashikwa hasira na kujaa uchungu
Tafuta chako tulia nacho kitunze kikufae
Kwani unavyotoa invoice kwani wewe ni mlemavu omba omba?

Ndio maana wanawatindua na kuwaacha. Mnadhani wanaume hawana akili? Unabaki unalia lia ooh tulikuwa tunapendana akaniacha na mimba. Kumbe Msela kajiongeza
 
Anapata malipo yake si ndio mkuu. Ila asije kukuroga bure
Siamini kwenye uchawi hivyo silogeki hata nukta.

Nilimwambia ndio kosa lako nilipanga kukuoa. Nikamwambia hata leo ukipata wa kukuoa wewe ulewa tu mimi nina mke wangu. Yaani anajuta sana.

Yeye alidanganywa na mahandsome boy wa mjini wanahonga Pocket money wanazopewa na wazazi wao.
 
Ukishamwaga tu unalala kidogo ukiamka mawazo yanaanza.
1. Hana ukimwi kweli
2. Vipi magonjwa mengine
3. Gharama za Hotel, chakula na usafiri.

Unajikuta umeshakata laki tatu chaap. Mpaka aondoke sita zimeondoka......huu ni mtaji mkubwa wa biashara

Ukiangalia game yenyewe mbovu hata kama ingekuwa kali lakini huna ulichogain zaidi ya ku Loose
Bado akiondoka anakuacha na uchovu yan hasara juu ya hasara.
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Wqqwqqmmk
 
Kwani si huwa mnawatafuta wenyewe? Au hutuma maombi? Msichana yupo katulia lakini unaenda mchokonoa mwenyewe Kisha unarudi kulalamika, hiyo dinner mpeleke dada yako au shangazi yako.

Kwani si huwa mnawatafuta wenyewe? Au hutuma maombi? Msichana yupo katulia lakini unaenda mchokonoa mwenyewe Kisha unarudi kulalamika, hiyo dinner mpeleke dada yako au shangazi yako.
Acha umalaya
 
Kwani unavyotoa invoice kwani wewe ni mlemavu omba omba?

Ndio maana wanawatindua na kuwaacha. Mnadhani wanaume hawana akili? Unabaki unalia lia ooh tulikuwa tunapendana akaniacha na mimba. Kumbe Msela kajiongeza

Umaskini unakusumbua wewe!!
Hela za kutoa huna usingepiga tarambee humu
Ukipenda kubadili mboga uwe na pesa🤣🤣
Hakuna free papuchi
Wawape burebure tu?? 😂
 
Umemaliza mkuu, mi ndo formula yangu, mwanamke akianza habari za nauli story zinaishia hapo!

Kuna mmoja aliomba mpaka hela ya kushona nguo ili tutoke, na siku yenyewe ya kutoka eti anakuja na rafiki yake!
Wakiume Mkuu
 
Umaskini unakusumbua wewe!!
Hela za kutoa huna usingepiga tarambee humu
Ukipenda kubadili mboga uwe na pesa🤣🤣
Hakuna free papuchi
Wawape burebure tu?? 😂
Tutaendelea kuwafumua na kuwatupa kule kama tissue paper.

Kwanza wewe ni Single maza unaleta msongo wako wa mawazo jukwaa hili kwani sisi ndio tulikuzalisha?
 
Tutaendelea kuwafumua na kuwatupa kule kama tissue paper.

Kwanza wewe ni Single maza unaleta msongo wako wa mawazo jukwaa hili kwani sisi ndio tulikuzalisha?
🙌😂 kumbe wewe ni maskini na ujinga unao??
et single mother 😂
So kwako unaona tusi mwenyewe
Mimi ningelikua singlemom ningelikua very proud kama mama yako tu
Kijana acha makasiriko tafuta pesa
 
Back
Top Bottom