Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

mungu fundi aisee. tatizo watoto hawa wenye njaanjaa mungu kawabariki uzuri wa asili unakuta mtoto ni kama yule amisa mobeto sasa unachomokaje apo?
 
Wewe umegeuka Baba yake mzazi?
 
Jiongeze mwanamke anayekupenda nauli anajilipia , ukiona anaomba hela Sana jua hakuthamini hakujali wala hakupendi na usitumie pesa zako ili akupende , zaidi ukiona mwanamke analia matatizo kwako daily mpuuzie huyo ni Malaya anayekulia timing ale vyako atembee mbele hivo kua mbele ya muda
 
Hiyo ni style tu ya kukataliwa.
Hapo unaachia ngazi mwenyewe tena bila kelele😃😃
Huwa mnaamini mwanamke hana viatu nauli hadi umpe??
Mwanamke akikupenda na akikuhitaji hizo kelele zote hakuna
Hamna kitu kama hicho, njaa tu zimewazidi wanawake wa siku hizo.

Ni kweli mwanamke akikupenda hata kwa miguu atakuja.
 
Hiyo ni style tu ya kukataliwa.
Hapo unaachia ngazi mwenyewe tena bila kelele[emoji2][emoji2]
Huwa mnaamini mwanamke hana viatu nauli hadi umpe??
Mwanamke akikupenda na akikuhitaji hizo kelele zote hakuna

Sasa kama lengo ni kumkataa mtu, mbona mkipewa hivyo vitu hamkatai? Kama sio njaa ni nini? Labda tuite ni utapeli!
 
Utapigwa ufe hawana huruma na wewe
 
Mwanaume mwenye confidence hujibu kwa sentensi moja tu kwenye mazingira kama hayo, "SINA HELA." Hiyo ni hata kama ulitoa wallet mbele yake na aliiona imevimba. Halafu baada ya hapo uamuzi namuachia yeye kuendelea kuwa karibu yako au aende. Simple!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…