Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

Mimi sijawatetea kwa sababu sina uwezo wa kuwatetea. Wao ndiyo hujitetea wenyewe na ndiyo maana wanaume hawaishi kulalama.
Kwanza elewa mitazamo hutofautiana kwenye mahusiano unapokutana na mwanamke ana malengo yake na wewe Una malengo yako migogoro huanzia hapo maana kila mmoja Yuko na yake ya kutimiza hasa hua ni either mwanaume ujishushe uende kwenye malengo ya huyo malaya wako au malaya wako ajishushe aje kwenye malengo yako ndio mtafika tofauti na hapo sahau kudumu maana akishajawa na tamaa tayari anakua na yake kichwani hiyo ndio kanuni, ndio maana walikua wenye malengo hukaa mezani wajue waanze na kipi waache kipi na wanakua na kauli moja kwenye maisha sio dunia ya leo
 
Huwezi sema unataka mke wakati ndo kwanza mnaanza kujuana.
Na dada wa watu anataka mwanaume ambae anaweza kumhudumia hata kwa kiasi kidogo. Ndo kipimo hicho anakupa.
Mwanamke anakua proud na pesa na cheo cha mwanaume ambaye Hana undugu naye akiamini ndio pumziko lake , so ilivosema tuishi nanyi kwa akili sio kwamba hamna akili lakini mmejawa na tamaa, ndio mlivoumbwa, haijalishi umesoma au haujasoma unalenga faida kwa mwanaume , wewe unajikuta umpangie mwanaume wakati mwenyewe hauna lolote inakuingia akilini kweli
 
Ndivyo ilivyo na haitabadilika
 
Ndivyo ilivyo na haitabadilika
Ndio maana kwa tunaofahamu wala tunaangalia Tu , yaani uko proud natembea na fulani hata usipewe hata mia lakini upo , ujue Yule mwenye pesa na wadhfa ule ana watu wake atachapa uchi wako atakuchoka Na safari inaendelea mbele hata ubinuke vipi kitandani
 
Masikini wanadeti na masikini wenzao

Mimi girl friends Wangu huwa hawaombi hela Ila wanaomba niwape muda wangu.

Jaribu kuichunguza circle yako vizuri don't date with broke women
Speaking my language. And even they spend on you. And treat a man like a king supposed to .
 
Siku zoooote hua anatembea uchi au? Acheni ufala nyie mapimbi mtapigwa mfe
Kuna nguo halafu kuna nguo ya kutokea,wanawake hawana jambo dogo hata kidogo

Kuna dem nilikuwa namsalandia sehemu ambayo huwa nafikia kulala,siku hiyo akaniambia tafuta kondomu kwa maana jioni gemu ipigwe,hlf jioni hiyo hiyo akaniambia nimsindikize dukani,akaenda kununua skin tight nyeupe,naenda room usiku kupiga game namvua nguo nakuta kavaa ile tight nyeupe aliyonunua jioni hiyo,kumbe ilikuwa makhususi kwa ajili ya show,naona umeelewa kuwa hawana jambo dogo
 
Back in my days, wkt huo mgeni mgen na mabinti, akanipangia birthday yake, nimnunulie nini na twende wapi, akandaa mkeka wa gharama akanitumia. Kodi, nimfungulie biashara huku aki demand niende kwao
Aisee just imagine mtu hakufahamu, mnakutana mara chache but demand kama zote
Supply inakuwa kidogo
 
Ndio maana kwa tunaofahamu wala tunaangalia Tu , yaani uko proud natembea na fulani hata usipewe hata mia lakini upo , ujue Yule mwenye pesa na wadhfa ule ana watu wake atachapa uchi wako atakuchoka Na safari inaendelea mbele hata ubinuke vipi kitandani
Tunatambua hilo mkuu. Usinichoke kwani mimi ndugu yako? Kuchokana kote kote hata yeye mwenye pesa na wadhifa wake atachokwa tu. Ndo maisha.
 
Tunatambua hilo mkuu. Usinichoke kwani mimi ndugu yako? Kuchokana kote kote hata yeye mwenye pesa na wadhifa wake atachokwa tu. Ndo maisha.
Wala sijakuchoka tena tulikotoka mbali , lakini tunapeana ufahamu wa ukweli tu
 
Jamani jamani 😃 kwani chotera unasemaje kuhusu suala la mwanamke (mtu ambaye ana miguu miwili, mikono miwili, macho mawili pamoja na akili timamu) kulialia njaa kwa mwanaume?
 
Ukweli mtupu. Wenye watoto wa kike nawao ea huruma maana tunayo wafanya hawa wanawake ni balaaaa.
Kweli shetani anaishi kwenye mbususu
Mm nina binti zangu nyumbani hapa. Natamani sana wapate watu sahihi wafunge ndoa nibebe wajukuu ila ikitokea wakaamua kutoa utelezi kwa mzabzab bila ndoa sawa tu lakini huyo mzabzab ndo agharamie huo utelezi sio mimi baba yao. Au akiamua kujigharamia ili ato$$$%we bure basi asubiri akishahama kwangu akapata kazi yake atoe bure atakavyo.
 
Back
Top Bottom