Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu.

Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya.

Hakuna tena mshikamano na umoja wa viongozi tuliouona wakati wa Mbowe akiwa gerezani.

Zaidi ameonekana Lema na Mnyika tu. Pigo kubwa sana kwa Lissu.

Wameshindwa kukijenga chama badala yake wamechochea ubaguzi na fujo zisizo na tija.....eti reform ...election
 
Acha unaa,wewe unaombea iwe hivyo halafu unajidai kuingia huruma,pia na wenzako.
 
UJINGA WA LISSU UTAWAPONZA NA WENGINE
 
Tatizo la afya ya akili..........
 
Mmemaliza kikao chenu huko chauma
 
Hivi unapoandika uwongo wa wazi kama huu unapata faida gani? Lissu muda wote alipokuwa mahakamani alikuwa amechangamka na kucheka muda wote hadi baadhi ya watu walikuwa wanatoa machachozi kwa kumhurumia yeye ndiye alikuwa anawatia moyo kuwa wasiogope na yote yako humu sijui unamdanganya nani.
 
Kachukue posho chauma kabla fuko la mama abdul halijakombwa
 
lisu ana historia ya kukimbia mapambano, nadhani na yeye kukimbiwa na jambo ambalo lilitegemewa zaidi kitaalamu
 
Wewe endelea kuvimbiwa pesa za mama Abdul huko Chauma lakini ujue kuwa ipo siku zitaisha. Sponsor wenu ana nyakati zake na zitapita!
 
lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola, ila yeye lengo lake ni kufanya vurugu sasa sio kila mtu chadema akili zmeruka


View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM&pp=ygUOY2hhZGVtYSBsb3dhc2E%3D
 
sema alikuwa anajaribu kuonesha amechangamka ila sisi tunaojua fake smile tumegundua kitu
 
Mkuu ili uwe ccm mzuri la kwanza lazima uwe mtumishi mzuri wa shetani. Alafu uwe Zezeta ili wakitaka kukutumia katika uovu uende Kama kondoo tu. Bila kuhoji. Kauwe unauwa. Kunya adhalani unakunya. Hapo saaaafii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…