Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu.
Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya.
Hakuna tena mshikamano na umoja wa viongozi tuliouona wakati wa Mbowe akiwa gerezani.
Zaidi ameonekana Lema na Mnyika tu. Pigo kubwa sana kwa Lissu.
Wameshindwa kukijenga chama badala yake wamechochea ubaguzi na fujo zisizo na tija.....eti reform ...election