Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

Utapakwa mafuta kwenye jicho la tatu mtoto wa kike
 
Kwamba ndo amesikia leo hayo yaliyojiri?,
punguza mihemko!
 
Hiyo ni Lissuphobia inayokutesa! Wewe unafikiri huko aliko mahabusu hapewi magazeti ya kusoma?
Lakini Simba ameonekana mahakamani akiwa fit kabisa.
Naamini huenda jamaa amekataa bargaining ya kutaka aachane na No reform No Election ili awe huru.
Mungu yuko pamoja naye.
 
Vo

Video please
 
Tuwekee picha ya hicho ulichokiandika.
 

Kuna chozi hapo?



Kama wewe unaweza tokwa na chozi hapo?

Mlimpiga risasi 16, hakulia. Alie leo?
 
Maisha ya chawa daima ni kwenye uchafu!!!
 
Mbona alikuwa anatabasam muda wote, hayo machozi yameonekana wapi?
 
Yaani unamuona huyo kikaragosi wa kenya ndio wa maana!? Mwacheni babu wa watu alee wajukuu.
Unamuita kikaragosi? Nafasi alizowahi kuhudumi na cv yake hufikii hata 1%

Matter of fact huna hata hadhi ya kufunga kamba za viatu vyake

So stfu
 
Mwambie ukweli huyu fala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…